Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

Wazee WA online sales pale kariakoo KWENDA mikoani. SIJUI umewafikiria na WAO au vaa uhusika uone machungu yake ILA NAWEWE IPO SIKU utitisha press na waandishi USIJALI tutakukumbusha TU tuombee uzima
Hapa ndo inanifanya nipige vita wapumbavu kama kina polepole,wanasababisha hasara kubwa,ingekuwa nchi za kiduku angekuwa ame rest in trouble,
 
Kama anakubalika zaidi, kwanini mtumie nguvu kubwa kumnadi?

Kama amepuuzwa kwanini mmeficha asionekane?
 
Mama wa polepole angetumia kondom ya kike inayoitwa lady pepeta asingeleta uchafu huu kwenye taifa
mjuba mbona sasa unatukana na kukashifu? Enzi polepole anazaliwa miaka hiyo kulikuwa na kitu kinaitwa lady pepeta? Wakati unamshambulia polepole jiandae kisaikolojia wengine wataibuka na madai kama haya, utatukana mpaka utanyamaza mwenyewe
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE PIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

NO REFORMS NO ELECTION
 
Hakuna mtu aliyetaka kuangalia hajaangalia, imesambaa kote, poleni CCM Dunia ya utandawazi hii.
 
Kama anakubalika zaidi, kwanini mtumie nguvu kubwa kumnadi?

Kama amepuuzwa kwanini mmeficha asionekane?
TAL alivoona hapati kitu akaamua atengeneze movie la kujifanya muhaini anadhibitiwa anasema Sio gaidi,yaani CDM walichokosea ni kumuweka huyu mcheza movie sasa hawajui wanakoenda,wanabaki wakilaumi serikali iliyokija na falsafa ya 4R-na walizozichezea,wakati ukuta,mama harudi nyuma alitoa fursa mkapiga teke sasa anajenga uchumi kwa Kila mtanzania
 
Mama anaweka fursa hamzitumii sabu ya Hawa wajinga mnajazwa upupu,wachina wakija kuzitumia kwenye masoko kama kariakoo mnaanza kulalamika ohhhh wachina wanauza karanga,kama wanapelekea kuwe na mzunguuko wa pesa shida nini wakati nyie mmelala
Sasa hapa ndiyo umeandika nini! Mimi ninalipa kodi mpaka ya kupaki gari kando ya barabara! Halafu mnaitumia hiyo kodi kwenda kununulia baiskeli na pikipiki za kuwapa makada wenu! Nyinyi ni watu wa hovyo sana.
 
Sikuwa na ratiba ya kumfatilia leo. Ila sinema za kushusha mtandao zimenifanya nimsikilize vizuri maana nikajiuliza n nin wanaficha??
 
Hazina madhara, kiwango Cha watu waliopumbazwa hakijafikia hata 0.00000003% ,hongera kwa serikali ndio maana October tukatiki kumbe mpo wachache sana,akidi hairuhusu uchaguzi kutokufanyika
Umetumia research Gani kujua hiyo % ya 0.00000003%?
 
Nashangaa Kwa nini Jamiiforums hawajafuta huu uchafu ulio andika humu Hadi sasa. Kama wewe hutaki maoni ya wengine yasikike Kwa nini ya kwako yaachwe yasikike? CCM ni laana Kwa hili Taifa.
 
Nahisi umechanganya. Jibu lako haliendani na swali langu.

Kwanza hata hiyo 4R tofauti na kujua maana yake, hakuna maelezo ya ziada. Sitaki kuamini kuwakwa muda wote waliojifungia na Mbowe walikuwa wanajadili maana ya 4R
 
Shida yako mtoa mada ni akili... yaani akili yako ipo polepole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…