Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

Hazina madhara, kiwango Cha watu waliopumbazwa hakijafikia hata 0.00000003% ,hongera kwa serikali ndio maana October tukatiki kumbe mpo wachache sana,akidi hairuhusu uchaguzi kutokufanyika
Ticktock kulikuwa na watazamaji zaidi ya laki moja. Zingatia neno zaidi. Bado youtube, facebook na zoom kwa wenye vpn
 
Nyie ndo watu mnaochoma Nyumba nzima moto kisa nyoka kaingia ndan ya Nyumba
 
Ila wewe, watu hadi wamercord na kutunza!
Heee! Kuna cha kurecord pale. Yaani hata uozo kama ule mtu unarecord. Kumbe CCM inwakabili watu wepesi sanaaaa. Jamaa watatawala mpaka wachoke wenyewe. Kuwatawala watu kama hawa ni rahisi sana, ila kufika nao nchi ya ahadi hapo ndio shida ilipo. Maana utawakokota mpaka moyo wako utafaint na bado hata robo ya safari hamjafika. Poleeeeeniiii!
 
Polepole leo ameshusha fimbo za JUU YA KIUNO tu, ukigusa anafuta anaanza UPYA.
 
🚮
Ujinga ni mzigo,
Kwani kuna mtu bado hana hiyo clip ya madini ya Polepole?

#KataaWahuni
No Reforms No Election 📌
Misamiati mipya katika Uzi wa leo:
  • Jitu
  • Toilet paper
  • Ulaji
  • Funga mdomo
  • Jizi
  • Dola milioni mia mbili
  • Lady pepeta condon would have prevented rubbish
  • Jamaa hili la leo
Du, umemaliza. Kwa misamiati hii anaelezeka kwa neno moja......................Eti kuna mtu atarecord press yake.
​
 
Ulaaniwe Mabeyo, ungechukua hii nchi sijui uliwaza nini kukubali kumpa huyu mama mbumbumbu.
 
Wewe hujapata habari ya Polepole? Kama bado utakuwa pekeyako na kama umezipata basi wengine nao wamezipata sasa hapo unatoa pongezi za nini?
 


Ukimuona mtu anazuia watu kujieleze tena bila matusi ujue ujue huyo mtu anahitaji sala!
 
Huwa nawashangaa wana CCM ambao wanahoji eti amepitaje eti amepitishwaje na Eti amejipitisha 😳 !

Ila huwa hawazungumzii kabisa madaraka makubwa kweli kweli aliyonayo Mkuu wa Nchi kwa mujibu wa Katiba iliyopo 😳 !

Ndio maana huwa Tunasemaga Locuta causa finita !
Hakuna mahali Katiba imevunjwa !
Mkae kwa kutulia ! 😄😅🤣🤷🏿‍♂️ !

Msiwe mnaangalia mlipoangukia tu !
Muwe mnaangalia na mlipojikwaa Bandugu !!

Sheria ni kama msumeno unakata mbele na nyuma !
Sasa kama na ninyi msumeno umewafikia inabidi mkae kwa kutulia tu !
Mkae kwa kutulia huku mkijua kwamba hakuna mahali Katiba imevunjwa !
Na kama kweli imevunjwa muende Mahakamani basi 😳 !
Au nasema uongo ndugu zanguniii ???! 😳🙄🤷🏿‍♂️ !
 
Mbona tumeupata uozo wote au mlizuia kipi? Hahahaha na tayar kikao chenu kimeota mbawa

Moshi mweusi mwekundu kwa kasi ya radi
 
Kwani wenzetu mna ficha au mnaogopa kitu gani?
 
I think inafaa waongeze ugonjwa mpya ... Wewe huenda ukawa na upungufu wa akili mwilini. Mimi si muumini wa chama chochote ila kitendo Cha wewe kufurahia kuminywa Kwa uhuru wa access ya kupata habari inaonesha how mindless you are. Kukosoa serikali au kupishana mawazo sio kosa. Watu waachwe waongee na serikali ije ijibu hoja Kwa kutumia hoja na sio kunyamaziaha watu wasiongee.. na huu unaousema wewe hapa ndo uozo wenyewe
 
Kwa nini uzuie kuongea basi kuna tatizo
 
Mkuu nisaidie hata buku mbili, unajipigia buku7 kirahisi mno! Hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…