Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sintowapongeza wachezaji na benchi zima la ufundi kwa kazi kubwa mliyoifanya mpaka kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho, timu kwa sasa inajiamini pakubwa, ikichagizwa na usajili bora uliofanyika.
Mchakato wa kuitengeneza Yanga mpya umekuwa na tija kubwa na sasa unalipa, pongezi pia kwa Eng, Hersi na viongozi wote wanaopambana usiku na mchana kuakikisha Yanga inakuwa imara kila eneo.
Hii ni meseji inatumwa kwamba, yanga ya sasa inakuja kuwa tishio na sintoshangaa wakifika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho, kuongoza kundi kibabe na mpira ukipigwa mkubwa na sio kubahatisha nawapa heko🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏.