Hongera Wananchi mnazidi kudhihilisha ubora wenu, mnaongoza kundi na mpira mkubwa

Huko CL una nini ulichowahi shinda!!?
Ni hatua nzuri kwa nafasi ya 10 kwa ubora barani Afrika, na ndo chagizo la kuingiza timu nne kwenye michuano ya Kimataifa

Je anayefika Chuo na anaishia sekondari kidato cha nne ni sawa?
 
Wewe ni looser tu,
Hujawahi shinda kitu chochote
 
utopolo bhana hata kuongoza kundi kwa muda unashangilia wakati bado mechi moja tena kundi lenyewe la 'losers' cup kwa walioshindwa Champion league.kwetu Simba Kuongoza kundi siyo habari kwani tuliwahi kuongoza kundi la 'Champions' league mbele ya Al Ahly
Makolokolo maisha hayarudi nyuma kama mlivyoingiaga uwanjani kinyume nyume kwa upumbavu wenu wa imani za kishirikina bali huenda mbele.

History si hoja bali tunataka uhalisia wa kilichojiri leo na kitachojiri kesho.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mafanikio sio kombe pekee ndio maana kila hatua kuna zawadi. Mna miaka 24 hamjawahi ipata robo fainal ya champions na sio kwamba hamuitaki bali ni uwezo wenu umeishia hapo.
Intermillan alikaa miaka 35 hajawahi kuchukua UEFA CHAMPIONS LEAGUE hadi 2010 alipoenda Mourinho ndipo akatwaa ubingwa, iwe nongwa kwa Yanga FC iliyokaa miaka 24 tu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mafanikio sio kombe pekee ndio maana kila hatua kuna zawadi. Mna miaka 24 hamjawahi ipata robo fainal ya champions na sio kwamba hamuitaki bali ni uwezo wenu umeishia hapo.
Arsenal ana zaidi ya miaka 26 mbele ya Chelsea kwa ukongwe wa kuasisiwa klabu, pia alimtangulia Chelsea FC kucheza fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE dhidi ya Barcelona FC 2006.

Chelsea FC alitoka nyuma na kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE CUPS 2012 & 2021.

Endeleeni kukaza tu mafuvu Makolokolo mkidhani kutangulia kufikia hatua hizo ndiyo kubeba kombe la CAF.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mafanikio sio kombe pekee ndio maana kila hatua kuna zawadi. Mna miaka 24 hamjawahi ipata robo fainal ya champions na sio kwamba hamuitaki bali ni uwezo wenu umeishia hapo.
Makolo amna tofauti na Tanzania prisons kwenye michuano ya kimataifa ambayo inacheza ligi kuu kila msimu na uwa inapambana kubaki kwenye ligi tu basi, ata iyo kungia robo fainali ni bahati tu imewaangukia mkakutana na wakina vipers na horoya ndo ikawa ivyo, ndio maana raja katembeza kichapo kwa vilaza wote kwenye kundi iyo inatuma meseji unakoelekea ndio mwendo umeumaliza maana akuna tena kina horoya kule, utapewa stahiki yako ipasavyo ata ukilala unaroga uwanja mwaka mzima
 
Wamkande arudi kukimbizana na Ihefu
 
Mafanikio sio kombe pekee ndio maana kila hatua kuna zawadi. Mna miaka 24 hamjawahi ipata robo fainal ya champions na sio kwamba hamuitaki bali ni uwezo wenu umeishia hapo.
Ila safari hii Mkuu tarehe 16 Aprili, 2023 Simba mjikomboe walau mmfunge Yanga. Mkifungwa tena utani haunogi!
 
Mliifunga lini simba kwenye ligi zaidi ya kubahatisha kwenye ngao ya jamii?
Mimi sio Shabiki wa Yanga ila ninachojua kuanzia mwaka 2019/2020 hadi leo 2022/2023 hamjamfunga Yanga kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Zaidi mlitoka sare tena ya mwisho mlishangilia sana. Vilevile, kama utakumbuka kwenye uchaguzi wa Viongozi wenu ambao mlimwalika mchezaji anaitwa Manzoki, wanachama wa Simba walimsuta sana Mwenyekiti Mangungu kwa kushindwa kuifunga Yanga kwa muda mrefu. Kama nimekukosea naomba samahani Mkuu.
 
Makolo amna tofauti na Tanzania prisons kwenye michuano ya kimataifa ambayo inacheza ligi kuu kila msimu na uwa inapambana kubaki kwenye ligi tu basi, ata iyo kungia robo fainali ni bahati tu imewaangukia mkakutana na wakina vipers na horoya ndo ikawa ivyo, ndio maana raja katembeza kichapo kwa vilaza wote kwenye kundi iyo inatuma meseji unakoelekea ndio mwendo umeumaliza maana akuna tena kina horoya kule, utapewa stahiki yako ipasavyo ata ukilala unaroga uwanja mwaka mzima
Ukiondoa Pyramid na AS FAR timu zote zilizopo shirikisho ni vilaza sana. Horoya au Vipers wangekuwa shirikisho wangeongoza makundi. Angalia huyo Gallants kwenye ligi ya south anaburuza mkiani lakini huko shirikisho anaongoza kundi .
 
Kilaza anapojisifu kuongoza vilaza wenzie.
Kilaza anakuongoza Hadi ww , basi ww ni kilaza zaidi yake
FB_IMG_1679252572037.jpg
 
Mimi sio Shabiki wa Yanga ila ninachojua kuanzia mwaka 2019/2020 hadi leo 2022/2023 hamjamfunga Yanga kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Zaidi mlitoka sare tena ya mwisho mlishangilia sana. Vilevile, kama utakumbuka kwenye uchaguzi wa Viongozi wenu ambao mlimwalika mchezaji anaitwa Manzoki, wanachama wa Simba walimsuta sana Mwenyekiti Mangungu kwa kushindwa kuifunga Yanga kwa muda mrefu. Kama nimekukosea naomba samahani Mkuu.
Timu kubwa malengo yake sio kuifunga timu moja tu. Mwenye akili timamu hawezi kutoka mbele na kuitaja yanga ndio imepata mafanikio kuliko simba kwa hicho kipindi ulichotaja.
 
Back
Top Bottom