Hongera Wananchi mnazidi kudhihilisha ubora wenu, mnaongoza kundi na mpira mkubwa

Yaani Bamako wamempiga Mazembe kwenye mechi muhimu kama ya leo? Hilo kundi timu zote za mchongo ingawa nawapa Yanga edge zaidi kidogo kwa ubora kuwazidi wengine.
 
Kilaza ni yule mwenye wachezaji wa ndondo cup nafikiri anajijua, watu wanakwenda robo fainali wakiwa wanajiamini wengine wanakwenda wakiwa akili mbili vichwani sijui hapo ni nani kilaza zaidi
Hii ya kuongoza kundi nayo mpyaaa sasa? Simba ilishaongoza kundi tena CL na ndani ya kundi hilo Al Ahly akiwemoooo.

Hakunaaa jipyaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CAF sio wajinga kuweka zawadi kiduchu huko shirikisho kuliko champions. Ni kilaza pekee anaedhani ushindani wa europa league ni sawa na eufa champions.
Napigilia msumari wa moto hapa NI MATUMIZI MBAYA YA AKILI ambayo yanahitaji matibabu KUDHANI KOMBE LA LOOSER SAWA NA CAFCL
 
Sawa, pumba na mchele vitajitenga hivi karibuni, timu bora itaendelea na michuano na timu dhaifu itaishia robo fainali, ubora wa timu yako tutaupima hatua ya robo fainali maana akuna tena wakina horoya
Mwambie huyo
 
Ni kweli champions hatua ya robo akina horoya hawapo Ila huko shirikisho hatua hiyo hiyo ya robo akina horoya wapo kibao. Na ndio tofauti ya champions na shirikisho.
 
Kilaza ni yule mwenye wachezaji wa ndondo cup nafikiri anajijua, watu wanakwenda robo fainali wakiwa wanajiamini wengine wanakwenda wakiwa akili mbili vichwani sijui hapo ni nani kilaza zaidi
utopolo bhana hata kuongoza kundi kwa muda unashangilia wakati bado mechi moja tena kundi lenyewe la 'losers' cup kwa walioshindwa Champion league.kwetu Simba Kuongoza kundi siyo habari kwani tuliwahi kuongoza kundi la 'Champions' league mbele ya Al Ahly
 
Huko winners mshawahinshinda kombe Gani!?
 
Back
Top Bottom