Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Mimi sijasema ni mafanikio ila nimesema ili utani unoge basi safari hii hapo Aprili mmfunge Yanga. Ikija mada ya mafanikio tutajuzana Boss Wangu.Timu kubwa malengo yake sio kuifunga timu moja tu. Mwenye akili timamu hawezi kutoka mbele na kuitaja yanga ndio imepata mafanikio kuliko simba kwa hicho kipindi ulichotaja.