Hongera Wananchi mnazidi kudhihilisha ubora wenu, mnaongoza kundi na mpira mkubwa

Timu kubwa malengo yake sio kuifunga timu moja tu. Mwenye akili timamu hawezi kutoka mbele na kuitaja yanga ndio imepata mafanikio kuliko simba kwa hicho kipindi ulichotaja.
Mimi sijasema ni mafanikio ila nimesema ili utani unoge basi safari hii hapo Aprili mmfunge Yanga. Ikija mada ya mafanikio tutajuzana Boss Wangu.
 
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kenda...lazima mfurahi..
 
Ukiondoa Pyramid na AS FAR timu zote zilizopo shirikisho ni vilaza sana. Horoya au Vipers wangekuwa shirikisho wangeongoza makundi. Angalia huyo Gallants kwenye ligi ya south anaburuza mkiani lakini huko shirikisho anaongoza kundi .
Hata J's kybale ambaye kafuzu robo klabu bingwa yuko mkiani kwenye ligi yake
 
Mimi sijasema ni mafanikio ila nimesema ili utani unoge basi safari hii hapo Aprili mmfunge Yanga. Ikija mada ya mafanikio tutajuzana Boss Wangu.
Uto ana deni la 5-0 pia 4-1 ili utani unoge inabidi arudishe hivyo vipigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…