Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Naipongeza wizara ya elimu kwakusikia malalamiko niliyoyafikisha kwenu kupitia jukwaa letu pendwa la jf.
Nilileta uzi nikiwatetea wazazi na kuwatuhumu baadhi ya walimu wa shule za secondary na msingi nilianza na shule ya secondary ya kata wilayani magu kwa kuagiza watoto wapeleke kilo10 za mchele pamoja na tsh.2000 kwakila mtoto kwa ajiri ya chakula baada yakuongeza masaa mawili ya ziada nikisema huo mpango ulikuwa ni mpango wa walimu kujipatia pesa.
baada ya uzi wangu kusomwa na wachangiaji hasa walimu, nilishambuliwa sana japo hawakuja na hoja ya kujibu mambo muhimu niliyohoji sababu ya kufanya hivyo.
Nashukuru leo serikali kupitia wizara ya elimu imejibu na kuungana na mimi kufikia hatua ya kutoa waraka wakuzuia shule zte nchini za msingi/secondary kuzuia ongezeko la masaa hayo mawili kwa kuwaeleza imegundua kuna changamoto za usafiri na baadhi ya shule zinazotumia mfumo wa doble.
serikali/ wizara imeelekeza km wanataka kuongeza mda wa vipindi basi uwe ndani ya utaratibu wa zamani wa masomo hayohayo manane nasio kuongeza mda wa masaa mawili.
hivyo niwakati sasa walimu mliokuwa mmekusanya fedha na mchele mrudishe kwa wazazi mliowachangisha vinginevyo takukuru watatimba faster kurudisha michango ya wazazazi km walivyoludisha mahindi ya shule huko manyara yaliyotaperiwa na mh.Diwani na afisa wake wakata.
hongera wizara hongera ccm na hongera serikari.
maana sehem zte hizi tuliwapa taarifa.
Angalizo kwa walimu na kamati zilizohusika.
1. Ludisheni michango
2.tangazeni kusitisha zoezi hili kwa barua km mlivyo toa barua kwa wazazi, vinginevyo tutaashumu mnaendelea kupiga kimyakimya.
Mwisho... wamimu njooni tena muijibu wizara au serikali hapa tena siyo mimi enzi na enzi.
Nawasilisha.
Nakala 1. Wazazi wte tz
Nakala 1. Walimu wte na kamati za shule zilizoagiza na kubariki wizi huu kwa wazazi
Nakala 1. Maafisa watendaji kata tz maana ndio mlitumiwa.
Enzi na Enzi.
Dar es salaam.