adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
NECTA Haitohurumia mtu yoyte hapo muda ukifika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ana tatizo binafsi na walimu, anaona kama hizo kilo zake 10 za mchele na hiyo 2000 basi atawatajirisha walimu.Tatizo lako liko kichwani, hivi aloongeza hayo masaa mawili ni walimu au serikali uenyewe??
Hicho chakula umewachangia walimu au wanao? Yaan uko radhi mwanao ashinde shule kutwa bila kula? Na hapo hulipi ada ni shule ya kata!! Ajabu hii..
Pole nyingi sana ziwafikie wafanyakazi wenzie na majirani zake kazi wanayo maana unoko wa jamaa ni noma lakini pole zaidi kwa mkewe maana jamaa anaonekana ana gubu sanaUmasikini tu unakutawala na pia inaonekana una roho mbaya, huwezi Kuja humu kulalamikia mchele kilo 10 ambavyo vitaliwa na mtoto, utakufa masikini na roho yako mbaya kenge wewe.
Ukifuatilia kwa mbaaali mtoa mada hajui anachokifanya
Kwanza mdogo wangu hutambui yafuatayo
1. Maelekezo ya kula shuleni hayakutolewa na walimu
Haya yalikuwa maelekezo na vikao shuleni vya wazazi viliitishwa na hizo b
ajeti shuleni ukifuatilia zilipangwa na wazazi kwenye vikao, walimu wanafanya kusimamia tuu
2. Kuondolewa kwa masaa haya mawili wameeleza sababu za kusitisha kitu hicho na si kwa sababu ya michango ya chakula kama unavodai.
Kosa kubwa la walimu nini?
Kosa kubwa la walimu ni ujinga waliojitwika wa kufanya majukumu yasiyo ya kwao. Yani leo kwenye kikao wazazi wanaomba kusaidiwa kukusanya michango hiyo kesho yanayokuja ni haya ( ambaye hakuwepo kwenye kikao anaona huo ni mpango wa shule)
Kosa lingine ni KUYAPENDA MATOTO UTADHANI YAKIFELI KWAKO HAULI.
Nyakati zimebadilika walimu wanapaswa kufanya kazi na si kama wito. Hakuna sehemu utashtakiwa kama mwalimu kisa litoto limefeli. Fundisheni tu habari za kula, kusafiri sijui nini waachieni wazazi wao.
Mnapokea matusi kwa kujitolea kufanya kazi zisizowahusu
Fundisheni tuuu mambo mengine amalizane na wazazi wake
Jamaa wewe huwa ni tayira kweli kweli...
Kuna uhusiano gani kati ya kulalamika kwako na kupunguza masaa 2?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
We ni fala kama fala wengine.Ip
Ipo cku mzee baba atawazukia km yakilosa.
Mmeajiliwa kufundisha haya mengine achaneni nayo mtunze heshima zenu
We ni fala kama fala wengine.
Kinachokusumbua ni umaskini tu.
Unapenda kuwaonea sana walimu.
Hili ni kundi ninaloheshimu sana
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mkuu naona Kama unaendeshwa na mihemko navojua mimi walimu hawawezi kuagiza michango hasa Zama izi za elimu bure Ila huitisha kikao Cha wazazi then walimu hutoa mapendekezo ya budget kulingana na siku anazokuwepo mtoto shuleni na wazazi wanajadili kujua kiasi gani wachangie.Naipongeza wizara ya elimu kwakusikia malalamiko niliyoyafikisha kwenu kupitia jukwaa letu pendwa la jf.
Nilileta uzi nikiwatetea wazazi na kuwatuhumu baadhi ya walimu wa shule za secondary na msingi nilianza na shule ya secondary ya kata wilayani magu kwa kuagiza watoto wapeleke kilo10 za mchele pamoja na tsh.2000 kwakila mtoto kwa ajiri ya chakula baada yakuongeza masaa mawili ya ziada nikisema huo mpango ulikuwa ni mpango wa walimu kujipatia pesa.
baada ya uzi wangu kusomwa na wachangiaji hasa walimu, nilishambuliwa sana japo hawakuja na hoja ya kujibu mambo muhimu niliyohoji sababu ya kufanya hivyo.
Nashukuru leo serikali kupitia wizara ya elimu imejibu na kuungana na mimi kufikia hatua ya kutoa waraka wakuzuia shule zte nchini za msingi/secondary kuzuia ongezeko la masaa hayo mawili kwa kuwaeleza imegundua kuna changamoto za usafiri na baadhi ya shule zinazotumia mfumo wa doble.
serikali/ wizara imeelekeza km wanataka kuongeza mda wa vipindi basi uwe ndani ya utaratibu wa zamani wa masomo hayohayo manane nasio kuongeza mda wa masaa mawili.
hivyo niwakati sasa walimu mliokuwa mmekusanya fedha na mchele mrudishe kwa wazazi mliowachangisha vinginevyo takukuru watatimba faster kurudisha michango ya wazazazi km walivyoludisha mahindi ya shule huko manyara yaliyotaperiwa na mh.Diwani na afisa wake wakata.
hongera wizara hongera ccm na hongera serikari.
maana sehem zte hizi tuliwapa taarifa.
Angalizo kwa walimu na kamati zilizohusika.
1. Ludisheni michango
2.tangazeni kusitisha zoezi hili kwa barua km mlivyo toa barua kwa wazazi, vinginevyo tutaashumu mnaendelea kupiga kimyakimya.
Mwisho... wamimu njooni tena muijibu wizara au serikali hapa tena siyo mimi enzi na enzi.
Nawasilisha.
Nakala 1. Wazazi wte tz
Nakala 1. Walimu wte na kamati za shule zilizoagiza na kubariki wizi huu kwa wazazi
Nakala 1. Maafisa watendaji kata tz maana ndio mlitumiwa.
Enzi na Enzi.
Dar es salaam.
Mkuu naona Kama unaendeshwa na mihemko navojua mimi walimu hawawezi kuagiza michango hasa Zama izi za elimu bure Ila huitisha kikao Cha wazazi then walimu hutoa mapendekezo ya budget kulingana na siku anazokuwepo mtoto shuleni na wazazi wanajadili kujua kiasi gani wachangie.
Fanya kazi, acha longolongo ili uepuke kupata 'Laana matulubai'