Umaskini wa akili ni mbaya mno, badala ya kumfikiria mwanao anaishi vipi na njaa kwa muda mrefu,toka saa kumi na mbili alipoamka mpaka saa kumi/nane na nusu, unawaza kilo kumi zenye thamani ya Tsh.10,000-12,000 na Tsh. 2,000 (Probably ya Kuni,chumvi,mafuta,maharage na mpishi) jinsi zitakavyoliwa na Mwalimu!?
Acheni kudharau Walimu,kwa nini msiunde kamati ya wazazi itakayohakikisha watoto wanakula?
Mwanangu chekechea nimemlipia laki na nusu ale shuleni,wewe elfu Kuni na nne unaongea maneno ya kashfa kwa Walimu?
Watu msiosoma mna matatizo, Unamrithisha mtoto ujinga na umaskini kwa gharama ya Tsh 14,000?;(Tena kwa miezi mine mtoto anakula!)
Nazidi kuwashauri walimu! Jiwekeni mbali na vitu visivyo na afya ktk utu wenu!
Hiyo shule ya savannah huwezi kukuta walimu kama wewe wa Div4 ya point 28.
Hata kama ingekuwa ni tsh.14000 lkn tuone value of money ya tsh.14000.
Maana watoto walipofunga kupisha covid-19 masomo yaliendelea kwa njia mbali mbali , na baadhi ya shule ziliendelea kutoa packages za masomo.
Sasa haya masaa mawili ya nyongeza nidhahili hayakuwa na tija zaidi yakutoa mianya ya walimu wa Div4 ya point 28.
Hata wewe nimwalimu unaefundisha shule ya msingi ibenzamata p/s iloyopo ktk manispaa ya shinyanga.
Ukibishia naweka full name yko hapa. Na wasifu wako kwa ujumla.
Usizani watu tunaongea vitu tusivyovijua hapa.
Mimi Enzi na Enzi ndo nililipinga hili la michango ya 10kg na tsh.2000 kila mtoto baada yakujilidhisha kuwa sababu ya masaa mawili yakufidia topic walimu walianza kutumia vibaya
Nanilitoa ushahidi wa shule kalibia tatu ktk mikoa mbalimbali mala tu yakupitisha mpango huo kabla yashule kufunguliwa.
Nilitukanwa nikaombwa kuweka vielelezo nikaamua kuiomba wizara iingilie kati pamoja na chama tawala.
Baada ya shule kufunguliwa kweli barua zikaanza kusambaa ndo serikali ikaja na waraka wakuzuia jambo hilo.
Namoja yabarua nilizozipata zinatoka mkoa wa mwanza wilaya ya magu hata ukiidoma barua yenyewe ni dhahiri kuwa Head master alilijua hilo mapema akaamua kumtumia Afisa mtendaji wa kata.
Nayeye headmaster akapitisha tu.
Hii inamaana mgao wa mchele ulipangwa ki sisteam.