Ni Uhuru wako kusema lakini hapa unapotosha Na kudanganya watu kwa makusudi au kwa kutokujua
Kama napotosha fafanua kutoka kwenye bandiko langu.
Nimesema... wahadhiri wa vyuo vikuu walikataa kuitwa waalimu ili kukwepa fedheha hizi za baadhi ya waalimu japo kiuhalisia wahadhiri ni... WAALIMU.
2.Nikasema ndani ya wizara ya Elimu kunakundi kubwa la waalimu walioenda ualimu baada ya kupata Di4 ya point 24, Huyu mwl. Unadhani ataleta mapinduzi ya elimu?
3. Nikasema shule zinazofanya vizuri sio kwa sababu watoto wanakula ila nikwa sababu zimeajiri waalimu wenye uwezo wa juu.
4.Nikasema walimu wanaoshabikia michango ya vyakula kwa wazazi ili wajinufaishe wengi wao niwale waliokoswa koswa na panga la jpm
5.nikasema Jpm alifukuza wanafunzi wengi waliokuwa wakichukua shahada za ualimu wakitokea form4 ndo kundi hili la waalimu vilaza wanaosumbua wazazi.
5.UALIMU NIHESHIMA KUANZIA NGAZI YA JAMII HADI KWA WATOTO UNAOWAFUNDISHA.
Nikasema walimu wa miaka ya 1977 /87walimu waliheshimika kwa sababu walikuwa wachapa kazi, walilima, walifanya siasa safi, walifuga, nawalifanya biashara.
Baadhi ya maduka mengi yalimilikiwa na waalimu.
Kwa mwl. Usingeweza kukoswa kuku, Bata, sungura, mbuzj, ng'ombe , hata barafu zilikuwa za wake wa waalimu bila kusahau ufuta, na vitumbua.
Ilikuwa km huna hela lazima ubebe kiazi kutoka nyumbani na unaficha kichakani .
Zama hizo ndo tulitoa wasomi weledi wa nchi hii km akina JOHN POMBE MAGUFURI hawa ndo waliokuja kuwa waalimu wazuli, JPM alikuwa akitoka shule anachunga, anauza maziwa, nakuchimba BUKULWA muulizeni magufuri km alipeleka kilo 10 za mchele au za mahindi za kula shuleni japo vyakula vilikuwa tele.
Waalimu Badilikeni, ndo maana nashauri watengeneze group wawe wanaonyana na kukosoana.
Hili la michango tuliwakosoa mapema mkashabikia sasa limewaaibisha.