Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
- Thread starter
- #21
Wewe mzee sidhani kama umeshasomesha hata mmoja chuo kikuu ikiwa mwanao tu mchango wa chakula tu unawatapikia walimu kama watoto wako?
Sina hakika kama hata mabinti zako unawahudumia kwa malalamiko haya.
Acha mawazo duni.
Jitolee kusapoti program muhimu kwa watoto wako.
Wasukuma ninaowafahamu hawawezi kulalamika kwa kilo kumi za mchele, wewe utakuwa mvivu haswa.
Acha uvivu lima, lima , lima, tena lima haswaa.
Hata walimu wakila shuleni wakapata nguvu kuwafundisha wanao mnapungukiwa nini.
Hoja zako ni mfu, unasema walimu walikuwa na mabata wanalima n.k leo walimu wako wangapi?
Shule ngapi bado zina maeneo ya kulima? Wanafunzi wenyewe hawalimi siku hizi kama ninyi mlivyolelewa.
Acha uvivu mzee
Nyie waalimu wenye tabia za kutaka tumichango ndo mlime.
Vya bule Mh. Magufuli alisema Vibayaa.
Nyie ndo mlime tena mlime haswaa!
Mambo km haya mlitakiwa muwaambie wizara ndo watangaze badala yakutolea udenda mipunga yetu.
Vya bule vibayaa.