Hongera Waziri wa Elimu kusikia malalamiko yangu niliyoyaweka JF japo walimu walinishambulia

🤣🤣🤣🤣eti nihamishe shule.
Naona hujasoma agizo la serikali.
 

Unajiita kipanga, hata kuandika hujui!
Hata kuandika ugali hujui unaandika ugari!
Sawa, haya mimi ni Mwalimu! Umefurahi..!?
 
Nakusubiri uijibu hyo[emoji3516]then nikuweke wazi kila mtu akujue. Unakataa ww siyo mwalimu. Ww nimwalimu ukibisha naweka jina nashule unayofundisha.

Teh teh! Nimebisha,haya niweke wazi ili kila mtu anijue, nimekupa ruhusa!!
 
Unajiita kipanga, hata kuandika hujui!
Hata kuandika ugali hujui unaandika ugari!
Sawa, haya mimi ni Mwalimu! Umefurahi..!?

Jibu kwanza hizo hoja.
We unadhani kila mtu kasoma arts?
 
Jibu hilo bandiko usibadili gear mwl. Wa Div4 ya 28

...nimeshakujibu, kwamba wewe si unanifahamu? Nianike hapa utaje majina yangu yote na kila kitu unachojua kunihusu pamoja na shule ninayofundisha mimi mwl wa Div 4 point 28...!
Then ndio nione cha kukujibu kama hutakuwa umeandika tena matakataka!
 
...nimeshakujibu, kwamba wewe si unanifahamu? Nianike hapa utaje majina yangu yote na kila kitu unachojua kunihusu pamoja na shule ninayofundisha mimi mwl wa Div 4 point 28...!
Then ndio nione cha kukujibu kama hutakuwa umeandika tena matakataka!

Kwahiyo lakukujua tu ndo umesoma.
 
Kuna ndugu yangu mmoja juzi huko mpakani mkoa wa Kagera mwanae kakataliwa kupokelewa shule na kufukuzwa na mwalim mkuu kisa hana pesa ya kulipia hosteli, kufuatilia kumbe pesa zenyewe mwalim mkuu huwa anazikusanya kwa njia ya mpesa na hakuna risiti sasa sijui kwa nini malipo ya serikali yanakuwa hayana risiti hii njii ya ukusanyaji fedha inatia mashaka kabisa na imani serikaki na wizara ipo macho.
 
Ahsante kwa taarifa.
Nitajie jina la shule mkuu.
 
Ahsante kwa taarifa.
Nitajie jina la shule mkuu.
Ndani ya walimu wte nchini kuna kundi walimu upinzani.

Hawa ndo wanaopanga na kuanzisha vitu km hivi.

Unajua upinzani ulikuwa umefanikiwa sana kuteka baadhi ya waalimu na mawakili ndani ya TLS
Hivyo walimu km hao na hawa wanaoshabikia michango nisehem ya kundi hilo.
 
Mukulu ndo ilivyo....
Ilo ndo huwa linaitwa "jicho la tatu"
 
Umasikini tu unakutawala na pia inaonekana una roho mbaya, huwezi Kuja humu kulalamikia mchele kilo 10 ambavyo vitaliwa na mtoto, utakufa masikini na roho yako mbaya kenge wewe.
 
Umenena mkuu, kuna mengi nimejifunza aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo lakukujua tu ndo umesoma.

Yes, nasubiri umwage detail zangu hapa ili tuende sawa!
...unajifanya na kuropoka unajua watu nje ya keyboard!
Kuwa huru bwana, hili ni jukwaa huru unamumunya mumunya nini?
Au ni kwa kuwa wewe bado ni mgeni humu?
 
Ni Uhuru wako kusema lakini hapa unapotosha Na kudanganya watu kwa makusudi au kwa kutokujua
 
Ni Uhuru wako kusema lakini hapa unapotosha Na kudanganya watu kwa makusudi au kwa kutokujua

Kama napotosha fafanua kutoka kwenye bandiko langu.

Nimesema... wahadhiri wa vyuo vikuu walikataa kuitwa waalimu ili kukwepa fedheha hizi za baadhi ya waalimu japo kiuhalisia wahadhiri ni... WAALIMU.
2.Nikasema ndani ya wizara ya Elimu kunakundi kubwa la waalimu walioenda ualimu baada ya kupata Di4 ya point 24, Huyu mwl. Unadhani ataleta mapinduzi ya elimu?
3. Nikasema shule zinazofanya vizuri sio kwa sababu watoto wanakula ila nikwa sababu zimeajiri waalimu wenye uwezo wa juu.
4.Nikasema walimu wanaoshabikia michango ya vyakula kwa wazazi ili wajinufaishe wengi wao niwale waliokoswa koswa na panga la jpm
5.nikasema Jpm alifukuza wanafunzi wengi waliokuwa wakichukua shahada za ualimu wakitokea form4 ndo kundi hili la waalimu vilaza wanaosumbua wazazi.

5.UALIMU NIHESHIMA KUANZIA NGAZI YA JAMII HADI KWA WATOTO UNAOWAFUNDISHA.
Nikasema walimu wa miaka ya 1977 /87walimu waliheshimika kwa sababu walikuwa wachapa kazi, walilima, walifanya siasa safi, walifuga, nawalifanya biashara.

Baadhi ya maduka mengi yalimilikiwa na waalimu.
Kwa mwl. Usingeweza kukoswa kuku, Bata, sungura, mbuzj, ng'ombe , hata barafu zilikuwa za wake wa waalimu bila kusahau ufuta, na vitumbua.

Ilikuwa km huna hela lazima ubebe kiazi kutoka nyumbani na unaficha kichakani .
Zama hizo ndo tulitoa wasomi weledi wa nchi hii km akina JOHN POMBE MAGUFURI hawa ndo waliokuja kuwa waalimu wazuli, JPM alikuwa akitoka shule anachunga, anauza maziwa, nakuchimba BUKULWA muulizeni magufuri km alipeleka kilo 10 za mchele au za mahindi za kula shuleni japo vyakula vilikuwa tele.

Waalimu Badilikeni, ndo maana nashauri watengeneze group wawe wanaonyana na kukosoana.
Hili la michango tuliwakosoa mapema mkashabikia sasa limewaaibisha.
 
Shinyanga hakuna shule inayoitwa famtom
As long as hujui hata shule inaitwaje hyo ada yake tu umeijuaje?
Rekebisha kwanza hapo then darasa lingine lifate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…