Timu ya Mpira haiko unavyodhan Mkuu, Wachezaji waandamizi wawili au watatu wanaweza sajiliwa kwingine ukashangaa timu ikawa mbovu mpaka ushangae.
Lets Say Diara na Aziz Ki waondoke! Mzee hilo pengo utajitafuta haswa.
Hao Simba unaowakejeli, wamefanya hicho alichofanya Yanga mara 5!
Na mwaka jana pia alitolewa kwa Penat na Wydad sio hawa wacheza Amapiano! Lkn mlikuwa mnaona izze. Mind you muda ni mwalimu mzuri.