Si kweli, mpinzani mkubwa wa kitimoto ni huyu bibilia, bishana naye:
7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu
Kawadanganye wanao habari hii,Issue ya Zitto sio ya Kisiasa ni issue ya kumiliki gari isiyo na nyaraka toshelezi za Umiliki , sio kila Jambo ligeuzwe la Kisiasa
why should we take it from you who are you by then???Acha ujinga Zitto wamuuwe kwa kitu gani nadhani hamuijuwi serikali ila mnajuwa kubashiri ya serikali. Wakimtaka wala hawatomtafuta. Wakitaka kummaliza wala huu ubashiri hautokuwepo ila atakuwa ameshamalizwa. Acheni hii mambo. Hili taifa linamazito zaidi ya huu ujinga hapa. Take it from me.
Ndio ujinga wa vijana siku hizi achana nao wangejua siko mlengo wa kichama ila mie mpenda demokrasiaHuwa nashangaa sana mtu kaleta mada kwa mjadala, lakini anatokea mwanamilembe au wanamilembe badala ya kujadili meda iliyoko mezani, wao hujadili
1. Kazi ya mleta mada
2. Itikadi ya mleta mada
3. Marafiki wa mleta mada
4. Avatar ya mleta mada
5. ID ya mleta mada
Etc etc
Ukisema hamna upinzani Tanzania unaakili wewe nakuuliza imemaliza period ama??Ikiwa hizo ndiyo tafakuri za mnazi wa upinzani chini ya mnazi, sina budi kusema, upinzani hakuna Tanzania hii.
Mtu badala ya kuja na mambo mbadala, yeye anakuja kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Punguani wahed.
Ukisema hamna upinzani Tanzania unaakili wewe nakuuliza imemaliza period ama??
Zitto mwenyewe "system".
Who is FF ??? Mbona mnakweza watu kwa sifa za kipuuzi?Mkuu punguza ukali wa maneno, FF ni memba mwenzetu.
Yaani kila siku mnaibiwa nyinyi tu, sasa kwanini mnashiriki, si muache tu , sasa kule babati kwanini hamkuibiwa?, mjitathmini nyinyi watu ndio mnapotezwa hivyo, si unaona mipango ya magufuli jijini Dar?, sasa unafikiri 2020 mkiendelea na kufunuana mtapata kitu kweli?Wananchi wapi? Wananchi wa gani walitoa hukumu? Yaani uchakachuaji uliogubikwa na ubabe wa polisi pamoja na Rushwa unaita ni ni hukumu ya wananchi? Yaani wananchi wameshiriki kuiba kura?
Wa kupuuzwa ni wewe leteni tume huru ya uchaguzi muone...... mgombea wa ccm, msimamizi ccm (wakurugenzi)..... usidhani watz wote ni wajinga.... unashiriki fainali za mashindano ambapo refa na wasaidizi wake wote, polisi wanao simamia usalama ni wa timu pinzani na ufurahie ushindi huo? .... osheni mokono yenu muwe wasafi.....Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokeaBangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Ukisema hamna upinzani Tanzania unaakili wewe nakuuliza imemaliza period ama??
Ukisema hamna upinzani Tanzania unaakili wewe nakuuliza imemaliza period ama?
Yeye ndiyo mpinzani pekee tu Tz wa kiti moto
Haha! Fafanua mkuu, hicho kitu kilichobana ni nini? Maana sio kila MTU ataelewa ulimaanisha nini!Pongezi kwake mzee wa machale...
Bila shaka kitu alichokivaa kilibana mara baada ya Polisi kuanza kumzengea ndio maana akajikataa mapema.
teh teh tehHaha! Fafanua mkuu, hicho kitu kilichobana ni nini? Maana sio kila MTU ataelewa ulimaanisha nini!
Wapinzani sio watu was kuwapuuza maana ndio wanachallenge movement za viongozi lasivyo chama tawala wangejisahauBangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Ni kweri kuwa wapuuzi siku zote hupuuza hoja za maana na badala yake madhara huwatokea baadae hata Mitume walipowaambia watu wao juu wokovu wapuuzi walipuuzia lakini majuto hayakuwasaidia hivyo hatoshangaa leo kuona watu wakipuza ukweri uliosemwa na Zitto KabweBangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Mungu mmoja tu, amma unamfata yeye amma unamfata shetani.
Aliyelianzisha kwa kuni beep hukumuona?
Ukinibeep nnakupigia, kumbuka hilo.