Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
watu wasiasa mnataka fact zaidi ilikuajeMkuu haraka ya nini kutuma thread? Tulia kwanza. Angalia ulivyoandika! Au ndo mwendo kasi nini?
Ya kidini au kiserikali lete habari kamiri
Waliachana na lecturer muda tu mbona! Kukaanga sio tija ati.Yule lecturer kapigwa chini,na kuzaa kote ,na kuishi kama mke na mme ,na kusidikizana mahakamani enzi zile za kesi na Chadema.Leo anaolewa mwingine ?mapenzi ya mwendokasi
Mbona hajamwarika phd au ndio alihic atakosoa kwenye swala la kubana matumizi
Kamari na kamili ni vitu viwili tofauti hujui kiswahili au wewe ni mkimbizi?kamari -kamili
Rudi darasani ukajifunze kuandika kwanza
Na wewe pia andika vizuri makosa yako ni mengi kuliko hata huyo unayemkosoa!Kaa chini andika vizur na uandike vitu vieleweke!! Neno edit lifanye kaz yake!! Kaa unaamka vile!!
harusiJe Zitto ni atheist ? Haamini uwepo wa Mungu ? Naona arusi ikifungwa ila ya sheikh , mzee wa kimwana kama taratibu za kiislam. Pia sioni padre kama taratibu za kikristo...
Huku nungwi mara nyingi hufungwa ndoa za wasio na dini...Ambapo huvishana pete wenyewe mbele ya marafiki wachache na wapiga picha.
Au amekimbia kulisha watu ubwabwa
Zitto Kabwe kafunga ndoa leo huko Visiwani Zanzibari.
Kwa muonekano wa hiyo picha ni kama ya kiserikali. Waliohudhuria au wanaojua zaidi watatueleza.
[/QUOTE
Mi naona ni CUF na ACT basi. Hujambo.Kwa muonekano wa hiyo picha ni kama ya kiserikali. Waliohudhuria au wanaojua zaidi watatueleza.
Nani huyo?Kwa hiyo yule bidada wa Cow ways amepigwa chini!
Ndoa ya kiserikali inafungwa na DC, huenda komredi zitto alifunga ya serikali.Je Zitto ni atheist ? Haamini uwepo wa Mungu ? Naona arusi ikifungwa ila ya sheikh , mzee wa kimwana kama taratibu za kiislam. Pia sioni padre kama taratibu za kikristo...
Huku nungwi mara nyingi hufungwa ndoa za wasio na dini...Ambapo huvishana pete wenyewe mbele ya marafiki wachache na wapiga picha.
Au amekimbia kulisha watu ubwabwa