Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Yule lecturer kapigwa chini,na kuzaa kote ,na kuishi kama mke na mme ,na kusidikizana mahakamani enzi zile za kesi na Chadema.Leo anaolewa mwingine ?mapenzi ya mwendokasi
Waliachana na lecturer muda tu mbona! Kukaanga sio tija ati.
 
Hongera zake maana ameyashinda majaribu mengi
96c1735442L.jpg
 
Dah! Huyu jamaa. Yupo kwenye vikao vya harusi na huku anatupa mawe ikulu! Hongera zake by the way
 
Kaa chini andika vizur na uandike vitu vieleweke!! Neno edit lifanye kaz yake!! Kaa unaamka vile!!
Na wewe pia andika vizuri makosa yako ni mengi kuliko hata huyo unayemkosoa!
Vizuri*
Kazi*
Kama*
Una amka*
 
Je Zitto ni atheist ? Haamini uwepo wa Mungu ? Naona arusi ikifungwa ila ya sheikh , mzee wa kimwana kama taratibu za kiislam. Pia sioni padre kama taratibu za kikristo...
Huku nungwi mara nyingi hufungwa ndoa za wasio na dini...Ambapo huvishana pete wenyewe mbele ya marafiki wachache na wapiga picha.

Au amekimbia kulisha watu ubwabwa
harusi
 
Karibu dogo katika chama kubwa...wenziye tupo huko kitambo.
 
Hongera sana zitto, kwa kutuiga majaribu ya wanawake. Omba mungu uwe umebahatisha mwenye ufahamu wa kutosha.
 
Je Zitto ni atheist ? Haamini uwepo wa Mungu ? Naona arusi ikifungwa ila ya sheikh , mzee wa kimwana kama taratibu za kiislam. Pia sioni padre kama taratibu za kikristo...
Huku nungwi mara nyingi hufungwa ndoa za wasio na dini...Ambapo huvishana pete wenyewe mbele ya marafiki wachache na wapiga picha.

Au amekimbia kulisha watu ubwabwa
Ndoa ya kiserikali inafungwa na DC, huenda komredi zitto alifunga ya serikali.
 
Back
Top Bottom