Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Huyo lecturer ni nani?Yule lecturer kapigwa chini,na kuzaa kote ,na kuishi kama mke na mme ,na kusidikizana mahakamani enzi zile za kesi na Chadema.Leo anaolewa mwingine ?mapenzi ya mwendokasi
Bibi harusi mzuri
Acha kabisa...yule dada yuko poa sana na zile rasta sasa ni mzuri balaa.Vitu vingine inabidi ushukuru vikitokea.I know she is happy,wherever she is now.Yule lecturer kapigwa chini,na kuzaa kote ,na kuishi kama mke na mme ,na kusidikizana mahakamani enzi zile za kesi na Chadema.Leo anaolewa mwingine ?mapenzi ya mwendokasi
Alikua anaitwa jack kama sijakosea ni muda mrefu tangu nionane nae mara ya mwisho pale udsm.Huyo lecturer ni nani?
Yule lecturer kapigwa chini,na kuzaa kote ,na kuishi kama mke na mme ,na kusidikizana mahakamani enzi zile za kesi na Chadema.Leo anaolewa mwingine ?mapenzi ya mwendokasi
Au ndio kongamano la kiana kuwakwepa polisi,ok safi mzee kuacha ukapera!
He is right,ni arusiharusi
Hongera mbunge wangu.
Wakaona waende znz, huku polisi hawakawii kusema mkusanyiko wa kisiasa.
Atakuwa ameshaolewa.Acha kabisa...yule dada yuko poa sana na zile rasta sasa ni mzuri balaa.Vitu vingine inabidi ushukuru vikitokea.I know she is happy,wherever she is now.
Naomba iwe hivyo...Atakuwa ameshaolewa.