Hongereni kwa Kumfunga Rivers United FC, ila na hili la Bernard Morisson liwekeni wazi msifiche

Samahani mkuu nimesikia wewe ni jamaa wa upinde,samahani lakini je ni kweli???
 
Naona Popoma umeumia sana na ushindi wa Yanga, huyo Morisson mwisho msimu huu hatutaki tena kumuona
 
Maelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?
Tatizo lako kuu ni kiherehere. Ujiridhishe kwanza kabla ya kuja kujidhalilisha hapa.
 
Mambo ya Yanga waachie wenyewe! Sawa?

Halafu upunguze kuwashwa washwa, ili usiendelee kuitwa Popoma Mbobevu.
 
Mpaka Sasa yanga inafanya vizuri bila huyo jamaa na Yule mpemba wenu
 
unajua mie hua nakupenda kama mtani wetu hata kama maandishi yako siyapendi,i love your personality and your character
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…