PreGE2025 Hongereni Mawakili wa Tundu Lissu, Hii iwe hatua ya mwanzo, zingine kali zaidi zifuate

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bishungwa awe wa kwanza kufikishwa mahakama ya ICC The Hague kwani yeye na IGP ni watu wenye Roho mbaya sana na wap ndiyo wamemshauri Rais kuwabambikia kesi chadema
 
Bishungwa awe wa kwanza kufikishwa mahakama ya ICC The Hague kwani yeye na IGP ni watu wenye Roho mbaya sana na wap ndiyo wamemshauri Rais kuwabambikia kesi chadema
Wa kwanza ni Samia. Bashungwa mtu mdogo sana.
Order zinatoka kwa Samia zinapita kwa Mchengerwa zinaenda kwa IGP then CP Awadh then Mafwele ambao wanamaliza kazi.
 
Mafwele ndiyo kaandaa kesi ya uhaini kwa Lisu ni mtu wa hovyo sana asomewe Alibadiri kubwa kabla hata hawajapelekwa huko mahakamani
Kama Albadir ingekuwa inafanya kazi Israel wote wangekuwa wamekufa kwa wanayoyafanya Gaza.

Lissu alishasema. Tupambane.
 
Kwani ile kesi yake aliyoishitaki Vodacom akiidai mabilioni ya dola za kimerekani imefikia wapi? Unadhani UN au hiyo ICJ Inahusika na malalamiko ya individual persons?
 
Tanzania kweli imefikia kuandikwa vibaya kwenye magazeti ya kimataifa? Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…