Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
CCM ni uvundo mtupu
Unajua hata kazi za Umoja wa Mataifa n Vikosi kazi vyake wewe?Unakosa adabu nyumbani halafu unakimbilia umoja wa mataifa..
Washapita wengi zaidi ya Lissu lakini Mama Tanzania ipo imara chini ya Serikali imara ya CCM!Sawa mnyongeni tu. Ila jueni tu yeye ndo chachu ya mabadiliko kwa Tanzania ili nchi ipate ukombozi wa kweli.
Tanzania itakuwa imara zaidi bila kuwateka, kuwabaka na kuwapoteza wanaoikosoa Serikali.Washapita wengi zaidi ya Lissu lakini Mama Tanzania ipo imara chini ya Serikali imara ya CCM!
AminMungu akupe moyo wa kutokukata tamaa wapigania.haki wote tanzania
Huwezi kuwa na shamba lenye mazao bora bila kung'oa magugu yasiyohitajika.Tanzania itakuwa imara zaidi bila kuwateka, kuwabaka na kuwapoteza wanaoikosoa Serikali.
Sawa mtaenda kusema hayo ICCHuwezi kuwa na shamba lenye mazao bora bila kung'oa magugu yasiyohitajika.
😀😀😀Hatima ya Lissu ni KITANZI tu. Hakuna mbadala!
Sawa. Hata Uhuru Kenyatta na William Ruto waliwahi kwenda huko na wakarudi kuwa Marais mtawalia.Sawa mtaenda kusema hayo ICC
Sio kwa Samia na watu wakeSawa. Hata Uhuru Kenyatta na William Ruto waliwahi kwenda huko na wakarudi kuwa Marais mtawalia.
Anaenda andika historia ya ukombozi wa pili wa taifa! What a time to alive!Suala la Tundu Lissu ndo linaenda kuleta ukombozi wa kweli kwa Tanzania. Bookmark this.
AndamanaHakuna mabaya yasiyo na mwisho Walikuwepo akina Elibashiri, Bokasa, Chiluba, iddy Amin Dada, makaburu, leo wapo wapi?
Bachenza seemed to be a very young smart guy with clean CV amongst Veggies gang members.Bishungwa awe wa kwanza kufikishwa mahakama ya ICC The Hague kwani yeye na IGP ni watu wenye Roho mbaya sana na wap ndiyo wamemshauri Rais kuwabambikia kesi chadema
Ahahahahaha! I hope utakuwa shahidi mzuri kesi ikianza! Ahahahahaha!!Sio kwa Samia na watu wake
Kazi yake ni kusuta watu na kutoa vitishoNchi imepoteza mwelekeo kabisa, ni bora kuongozwa na Kuku kuliko huyu galasa Samia
Bila shaka. Mashahidi tupo wengi sanaAhahahahaha! I hope utakuwa shahidi mzuri kesi ikianza! Ahahahahaha!!