PreGE2025 Hongereni Mawakili wa Tundu Lissu, Hii iwe hatua ya mwanzo, zingine kali zaidi zifuate

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Polisiccm watesi wote wanaoshiriki vitendo haramu vya kishetani wasombwe kwenda huko mahakama ya kimataifa iwe fundisho
 
Msoga amemuingiza chaka, usikute Yuko pembeni anatafuta popcorn
 
ulofa wa kitumwa ni mzigo wa kifikra wa hovyo sana aise dah 🐒
 
shauri lipo mahakamani iweje liingiliwe??
 
NIMEKUMBUKA ZAMANI KIDOGO....

Nilikuwa napotea njia nikawauliza kaka zangu(washikaji) niliowakuta mitaa ile wakanielekeza njia nyembamba katikati ya shamba la kahawa huku wakinipa na pole kwa uchovu na ugeni ule....

Nilirudi mbio nikiwa nimeibiwa kila kitu. Walinicheka sana na kunipa pole kwa wakati mmoja huku wakijitolea kunisindikiza njia ile ile ya awali huku wakiwa hawana hofu yoyote na wale waovu....

NILIPATA FUNZO KUBWA SANA.
 
Hatima ya Lissu ni KITANZI tu. Hakuna mbadala!
 
Chura Kiziwi is an idiot. Image ya nchi yetu inachafuka sana kwa sababu za ushetani wake. Kwake, kubaki madarakani ni muhimu kuliko kitu kingine chochote. Anataka kubaki Ikulu at any cost!
 
Nilivyofikia kwenye ICC tu nikaona utumbo huu wa ufipa ,

USSR
 
Unakosa adabu nyumbani halafu unakimbilia umoja wa mataifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…