PreGE2025 Hongereni Mawakili wa Tundu Lissu, Hii iwe hatua ya mwanzo, zingine kali zaidi zifuate

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Soon atavuna alichopanda.
 
Hakuna siku mzungu amemuonea mwafrika huruma unless yawepo maslahi yao au madini wakijua wakiingia kuna kitu watavuna
Mwafrika ni mbuzi. Hakupaswa kuwa Binadamu. Acha wazungu watusaidie.
 
Unahangaika kijana!
 
Utanda wazi; unaonyesha na yanayofanyika duniani kila sekunde sio kama enzi za Nyerere na Mabuto.

Angalia Kagame na Museveni walivyopowa kama maji ya chupa.
 
Sahihi kabisa. Pia tusiache kuripoti ICC individual ili kuhakikisha haki za watanzania wenzetu waliopotezwa na kuuwawa zinapatikana
 
Nilichosikia ni kuwa wanapokea malalamiko hayo lakn hawana uwezo wa kushinikiza lolote
 
ulofa wa kitumwa ni mzigo wa kifikra wa hovyo sana aise dah 🐒
Mtumwa ni wewe unayeshabikia mauaji na utekaji wa watz wenzako kisa tofauti ya vyama.
Ipo siku yenu yaja.
 
H Huko ni kutapatapa tu hakuna kitakachobadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…