PreGE2025 Hongereni Mawakili wa Tundu Lissu, Hii iwe hatua ya mwanzo, zingine kali zaidi zifuate

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama SAMIA ana PhD

Basi ni hatar sana. Akili yake ni ndogo sana
 
Acheni
Kwa hiyo Umoja wa Mataifa,unaruhusu mtu ,anayetaka kukinukisha,akinukishe,avenue amani,ili wananchi wapate tabu.
 
Acheni

Kwa hiyo Umoja wa Mataifa,unaruhusu mtu ,anayetaka kukinukisha,akinukishe,avenue amani,ili wananchi wapate tabu.
Tuache nini?

Kukinukisha ni nini? Tupe tafsiri sahihi ya kiswahili fasaha?
 
Kwa hiyo umoja wa mataifa ,wanafurahi mtu akinukishe,average amani,ili wananchi wateseke,huyu anatakiwa ashtakiwe kwenye mahakama za kimataifa kwa kutaka kukunukisha.
Kukinukisha ni kufanya nini?
 

Na bado!
 
Kwa hiyo umoja wa mataifa ,wanafurahi mtu akinukishe,average amani,ili wananchi wateseke,huyu anatakiwa ashtakiwe kwenye mahakama za kimataifa kwa kutaka kukunukisha.
Shut tha F up hakuna Amani bila HAKI.
 
Tanzania bado haijafanya mauaji ya kimbali au uhalifu wa Kivita kiasi cha Rais,Mkuu wa Majeshi,nk kushitakiwa ICC.
 
Tanzania bado haijafanya mauaji ya kimbali au uhalifu wa Kivita kiasi cha Rais,Mkuu wa Majeshi,nk kushitakiwa ICC.
Huna akili.

Uhalifu dhidi ya Ubinadamu ni moja ya makosa ambayo unaweza kushtakiwa ICC sio lazima makosa ya kivita.

Kwani Diterte kashtakiwa Philippines kulikuwa na vita gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…