inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Dola haiteui kwa kuiangalia jf jamaa yangu,acha mzahaYaani ukiona unasifiwa jf na ulikua katika Tena watu wanakushabikia basi jua huna chako. Jf fitna sana ule Uzi uliharibu sana CV za watu.
Rais gani wa Kumteua huyo Kubwa Jinga ( KJ ) mpwayungu village kwa Cheo chochote kile? Kura 1 tu aliyoipata Kawe ilitosha kuonyesha kuwa hana Faida kwa Taifa hili.Watanzania mnapenda Sana kumsifia MTU akiteuliwa na rais hata kabla ya kuona matokeo katika hicho cheo kipya.
MTU anaweza akamudu Sana nafasi ndogo lkn kubwa ikamshinda.
Naamini Leo hii akiteuliwa mpwayungu village kuwa mkuu wa Sungusungu kata ya 14 Temeke Kuna watu watasifia huo uteuzi lkn pia kumsifia mteule kwamba nafasi anaimudu.
Nakupinga hapa Mkuu nina Mifano michache ya Watu walioteuliwa na hata kutenguliwa kutokana na Michango ya Watu hapa Jamiiforums.Dola haiteui kwa kuiangalia jf jamaa yangu,acha mzaha
Ilitokea tuu sheikhNawe ilikuwaje ukawa Mpumbavu?
Kwa hili nakubaliana na wewe popoma mbobeziNakupinga hapa Mkuu nina Mifano michache ya Watu walioteuliwa na hata kutenguliwa kutokana na Michango ya Watu hapa Jamiiforums.
Kuna mpaka Maamuzi ya Serikali kadhaa yalishafanyika baada ya Watu kuandika hapa JamiiForums.
JamiiForums ina impact Kubwa huko huko Mamlakani ( Dolani ) kuliko vile uwazavyo na inaheshimika hadi Kuaminika pia. Acha kuidharau na dharau pia dhidi ya JamiiForums kama Mtandao.
HaswaKitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
porojoKitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Shida ya wabongo mtu yoyote akipata uteuzi kila mmoja atajifanya anamjua.
Vitu vingine unakausha tu maisha yaende.
na sifa wanazo toa ni porojo tuShida ya wabongo mtu yoyote akipata uteuzi kila mmoja atajifanya anamjua.
Vitu vingine unakausha tu maisha yaende.
Hili popoma nafki sanaNiliwahi kuona moja ya matamanio yako CDF awe Mkatoliki. Vipi matamanio hayo yamejibiwa?
Sasa akiweka wazi uhalisia wa maisha yake si angejisajili na jina halisi.... We kubali tu kuwa Genta ana hiyo connection ya taarifa za jeshi😂 ila yeye halisi anaweza kuwa yoyote, mwenye nacho au asiye nacho.Yani utadhani anamjua, mtu hujulikani hata na mwenyekiti wa serikali za Mtata unakuja huku kutoa sifa za mkuu wa majeshishida ya jamiiforum kila mtu mjuaji hatutaki kuweka wazi uhalisia wa maisha yetu, chaajabu hapo ana jero ya mihogo tu mfukoni
Wakati Mwamunyange anastaafu ulikuwa bado hujazaliwa? Maana unaongea vitu ambavyo hujuiTatizo umri baba. Pia kiutendaji CDF akistaafu inatakiwa COS nae ataafu ili CDF mpya apige kazi na COS wake
mtani, embu nifafanulie code ya "wazeee wa sanga sanga"Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Kwanza Asante kwa 'Kunifolo' nimeona 'Notification' yako. 'Sanga Sanga' ni wale Jamaa zetu wa 92KJ a.k.a Makomandoo.mtani, embu nifafanulie code ya "wazeee wa sanga sanga"
Pia aliwish awe msukuma,mzanaki au mkurya. Sijui kama matamanio yake yametimiaNiliwahi kuona moja ya matamanio yako CDF awe Mkatoliki. Vipi matamanio hayo yamejibiwa?
Matamanio yangu ya 'Kukuweka' ndiyo yaliyotimia tu. Una lingine?Pia aliwish awe msukuma,mzanaki au mkurya. Sijui kama matamanio yake yametimia
Jf haiwezi kuathiri uteuzi wa cdfNakupinga hapa Mkuu nina Mifano michache ya Watu walioteuliwa na hata kutenguliwa kutokana na Michango ya Watu hapa Jamiiforums.
Kuna mpaka Maamuzi ya Serikali kadhaa yalishafanyika baada ya Watu kuandika hapa JamiiForums.
JamiiForums ina impact Kubwa huko huko Mamlakani ( Dolani ) kuliko vile uwazavyo na inaheshimika hadi Kuaminika pia. Acha kuidharau na dharau pia dhidi ya JamiiForums kama Mtandao.
Ya kuniweka nyuma ya buttocks zako sio?Matamanio yangu ya 'Kukuweka' ndiyo yaliyotimia tu. Una lingine?
Rubbish.Jf haiwezi kuathiri uteuzi wa cdf