Hongereni sana Kitengo cha CMI JWTZ na wale TISS mliokuwa 'penetrated' JWTZ kwa Kazi nzuri ya CDF mpya Jenerali Mkunda

Hivi huyo jamaa sio kabila la Jiwe Kweri?πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Hapa kagame akijichanganya anavurugwa vibaya sana
 
Sanga Sanga ipi mbona hana bawa?
 
Bro usipende kuongelea habari ambazo huzijui, kufanya hivyo unapotosha watu. Nani kakuambia huyu Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama katokea Sangasanga?
 
Unateseka ukiwa wapi?
nimegundua kitu.
ni kwamba kila Gentamycine ukipost thread, kuna lindi la watu wanacomment kwa kuponda sana, bila kuangalia au kusoma maudhui au malengo ya uzi.

ni kama wana 'bifu' tu, sasa mimi sijui pengine mnafahamiana.

ila kama mtu katoa thread iko inaelemisha kwanini mpaka ucomment pumba.

kama hujaguswa na uzi si lazima kucomment,pita kushoto.

Gentamycine mwaga nondo hapaa!!!!
 
Mkuu GENTAMYCINE nina Shani ( Tunu ) nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu ikiwemo Kubwa ya 'Natural Charm' niliyonayo na ndiyo inayowatesa mno hawa ( hao ) Wapumbavu wengi Unaowaongelea hapa.

Jiulize tu Swali kama kutwa wakiwa hapa JamiiForums wanahubiri Kunichukia ( Kutonipenda ) huku Wakinitukana, Wakinidhihaki na Wakinidharau ila ni kwanini hao hao ndiyo 24/7 wanaongoza Kunifuatilia hapa JamiiForums kwa kila Threads au Posts zangu? Wengine mpaka Wananifolo na kuniongezea tu idadi ya 'Followers' wangu.

Threads zangu kama ukiwa Mpumbavu ( Popoma ) na ukikurupuka nazo unaweza usizielewe na ukabaki Kunilaumu tu ila nashukuru sana 'Geniuses' wachache hapa JamiiForums akiwemo Rafiki zangu adriz, Bila bila, Sky Eclat na wengineo hunielewa haraka mno.

MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na hakuna Mwingine Kudadadeki...!!!!!
 
Ukipigwa ban huwa ninakumiss sana mate
 
[emoji112][emoji112][emoji112]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…