mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
ahaaa sawa sawa swahibaa!!so niwe na uhakika kuwa nchi ipo salama kabisaaKwanza Asante kwa 'Kunifolo' nimeona 'Notification' yako. 'Sanga Sanga' ni wale Jamaa zetu wa 92KJ a.k.a Makomandoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaaa sawa sawa swahibaa!!so niwe na uhakika kuwa nchi ipo salama kabisaaKwanza Asante kwa 'Kunifolo' nimeona 'Notification' yako. 'Sanga Sanga' ni wale Jamaa zetu wa 92KJ a.k.a Makomandoo.
Achen upumbavu kosa lake ni lipi si kasifia kwa kuwa anaona ni mwenye welediShida ya wabongo mtu yoyote akipata uteuzi kila mmoja atajifanya anamjua.
Vitu vingine unakausha tu maisha yaende.
Nashukuru kwa Kunielimishia huyo Authentic Moron Mkuu ila ullichosahau tu ni kwamba nachukiwa mno na Wapumbavu.Achen upumbavu kosa lake ni lipi si kasifia kwa kuwa anaona ni mwenye weledi
Mmmmh...unataka kusema nini? Chief of staff wa mwisho wa Mwamunyange alikuwa Mabeyo kumbuka.Wakati Mwamunyange anastaafu ulikuwa bado hujazaliwa? Maana unaongea vitu ambavyo hujui
[emoji44][emoji44][emoji44]Luteni Jenerali Mkingule hana hamu na mitandao...watu wamemsifia humu kwenye uzi fulani mwisho wa siku haamani macho yake
Una uhakika na unacho kiandika?Tatizo umri baba. Pia kiutendaji CDF akistaafu inatakiwa COS nae ataafu ili CDF mpya apige kazi na COS wake
Hapa kagame akijichanganya anavurugwa vibaya sanaKitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Sanga Sanga ipi mbona hana bawa?Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Bro usipende kuongelea habari ambazo huzijui, kufanya hivyo unapotosha watu. Nani kakuambia huyu Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama katokea Sangasanga?Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Unateseka ukiwa wapi?Bro usipende kuongelea habari ambazo huzijui, kufanya hivyo unapotosha watu. Nani kakuambia huyu Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama katokea Sangasanga?
nimegundua kitu.Unateseka ukiwa wapi?
Mkuu GENTAMYCINE nina Shani ( Tunu ) nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu ikiwemo Kubwa ya 'Natural Charm' niliyonayo na ndiyo inayowatesa mno hawa ( hao ) Wapumbavu wengi Unaowaongelea hapa.nimegundua kitu.
ni kwamba kila Gentamycine ukipost thread, kuna lindi la watu wanacomment kwa kuponda sana, bila kuangalia au kusoma maudhui au malengo ya uzi.
ni kama wana 'bifu' tu, sasa mimi sijui pengine mnafahamiana.
ila kama mtu katoa thread iko inaelemisha kwanini mpaka ucomment pumba.
kama hujaguswa na uzi si lazima kucomment,pita kushoto.
Gentamycine mwaga nondo hapaa!!!!
Ukipigwa ban huwa ninakumiss sana mateMkuu GENTAMYCINE nina Shani ( Tunu ) nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu ikiwemo Kubwa ya 'Natural Charm' niliyonayo na ndiyo inayowatesa mno hawa ( hao ) Wapumbavu wengi Unaowaongelea hapa.
Jiulize tu Swali kama kutwa wakiwa hapa JamiiForums wanahubiri Kunichukia ( Kutonipenda ) huku Wakinitukana, Wakinidhihaki na Wakinidharau ila ni kwanini hao hao ndiyo 24/7 wanaongoza Kunifuatilia hapa JamiiForums kwa kila Threads au Posts zangu? Wengine mpaka Wananifolo na kuniongezea tu idadi ya 'Followers' wangu.
Threads zangu kama ukiwa Mpumbavu ( Popoma ) na ukikurupuka nazo unaweza usizielewe na ukabaki Kunilaumu tu ila nashukuru sana 'Geniuses' wachache hapa JamiiForums akiwemo Rafiki zangu adriz, Bila bila, Sky Eclat na wengineo hunielewa haraka mno.
MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na hakuna Mwingine Kudadadeki...!!!!!
😂😂😂Unamjua???, mnapenda kutafutiza ujuaji kwa wakubwa ilihali wewe ni muuza kahawa usiye na kijiwe [emoji57]
[emoji112][emoji112][emoji112]Mkuu GENTAMYCINE nina Shani ( Tunu ) nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu ikiwemo Kubwa ya 'Natural Charm' niliyonayo na ndiyo inayowatesa mno hawa ( hao ) Wapumbavu wengi Unaowaongelea hapa.
Jiulize tu Swali kama kutwa wakiwa hapa JamiiForums wanahubiri Kunichukia ( Kutonipenda ) huku Wakinitukana, Wakinidhihaki na Wakinidharau ila ni kwanini hao hao ndiyo 24/7 wanaongoza Kunifuatilia hapa JamiiForums kwa kila Threads au Posts zangu? Wengine mpaka Wananifolo na kuniongezea tu idadi ya 'Followers' wangu.
Threads zangu kama ukiwa Mpumbavu ( Popoma ) na ukikurupuka nazo unaweza usizielewe na ukabaki Kunilaumu tu ila nashukuru sana 'Geniuses' wachache hapa JamiiForums akiwemo Rafiki zangu adriz, Bila bila, Sky Eclat na wengineo hunielewa haraka mno.
MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na hakuna Mwingine Kudadadeki...!!!!!
Kwikwikwii 😂😂😂Ndio wale utakuta wanamu wish Cristiano Ronaldo au Messi happy birthday kwenye WhatsApp status zao utadhani hao jamaa wanaziona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]