Kiduara
Senior Member
- Sep 17, 2021
- 111
- 178
SahihiWacha uongo weye... Sanga sanga ya wapi.. Sanga sanaga huwezi fikia cheo hiyo unataka apindue nchi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiWacha uongo weye... Sanga sanga ya wapi.. Sanga sanaga huwezi fikia cheo hiyo unataka apindue nchi...
Kucheka nimeshindwa na kununa napo nimeshindwa nimebaki kukenua meno kifala.Yani utadhani anamjua, mtu hujulikani hata na mwenyekiti wa serikali za Mtata unakuja huku kutoa sifa za mkuu wa majeshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida ya jamiiforum kila mtu mjuaji hatutaki kuweka wazi uhalisia wa maisha yetu, chaajabu hapo ana jero ya mihogo tu mfukoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mrejesho hukutaka kurudi mkunda yupo au hayupo cheo hicho kapata au hajapata teuliwa?Yani utadhani anamjua, mtu hujulikani hata na mwenyekiti wa serikali za Mtata unakuja huku kutoa sifa za mkuu wa majeshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida ya jamiiforum kila mtu mjuaji hatutaki kuweka wazi uhalisia wa maisha yetu, chaajabu hapo ana jero ya mihogo tu mfukoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122][emoji122][emoji122]Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
100% [emoji1531][emoji1635]Mkuu GENTAMYCINE nina Shani ( Tunu ) nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu ikiwemo Kubwa ya 'Natural Charm' niliyonayo na ndiyo inayowatesa mno hawa ( hao ) Wapumbavu wengi Unaowaongelea hapa.
Jiulize tu Swali kama kutwa wakiwa hapa JamiiForums wanahubiri Kunichukia ( Kutonipenda ) huku Wakinitukana, Wakinidhihaki na Wakinidharau ila ni kwanini hao hao ndiyo 24/7 wanaongoza Kunifuatilia hapa JamiiForums kwa kila Threads au Posts zangu? Wengine mpaka Wananifolo na kuniongezea tu idadi ya 'Followers' wangu.
Threads zangu kama ukiwa Mpumbavu ( Popoma ) na ukikurupuka nazo unaweza usizielewe na ukabaki Kunilaumu tu ila nashukuru sana 'Geniuses' wachache hapa JamiiForums akiwemo Rafiki zangu adriz, Bila bila, Sky Eclat na wengineo hunielewa haraka mno.
MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na hakuna Mwingine Kudadadeki...!!!!!
Ahsante sana na Shukran mno Mkuu.100% [emoji1531][emoji1635]
Huyo jamaa bwana ni mtu wa uongo uongo tuUnamjua???, mnapenda kutafutiza ujuaji kwa wakubwa ilihali wewe ni muuza kahawa usiye na kijiwe [emoji57]
Ila bado tu huachi / hamuachi Kumfuatilia 24/7 ( Kutwa ) hapa JamiiForums.Huyo jamaa bwana ni mtu wa uongo uongo tu