Hongereni sana mabinti/wanawake wa Kisukuma kwa haya

Wangoni hatutairi wanawake wala makabila ya kusini hayatairi wanawake ongea vitu unavyovijua sio uropokaji
 
UWIIII WANAUME WA KISUKUMA KITANDANI NI OVYO KABISA, hawana hata muda wa kumuandaa mama kimahaba, yaani wao wanarukia tu, puuuuuuuuuuuuuuuuuu
Mmmh huyo uliekutana nae wa wapi!! Kiukweli wasukuma wanapendwa na wasichana wa makabila mengine kwa upole na kujali kwao, pia they know how to climb up with ladies though some may not be good, but many of them are good and they've big*** for ladies.
 
Wasukumaa sina ata amu nao...![emoji23] [emoji23]
 
Kwa maushepu ni kweli pia asililimia kubwa ya wasukuma wana usafiri ni balaa ila wanapenda kuwakalia wanaume( ht kwa kutumia mitishamba)
 
Kwa maushepu ni kweli pia asililimia kubwa ya wasukuma wana usafiri ni balaa ila wanapenda kuwakalia wanaume( ht kwa kutumia mitishamba)
Hao wanaowakalia wanaume kwa madawa ni wasukuma wa wapi kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…