venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,583
- 3,684
Unadhani hatuwapendi waume zetu basii.. ..ni vile mnatusalitiBila kusahau upendo wenu kwa watoto wenu haijalishi wanafanya mangapi ila upendo haupungui.
Tunajikuta tunahama mazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani hatuwapendi waume zetu basii.. ..ni vile mnatusalitiBila kusahau upendo wenu kwa watoto wenu haijalishi wanafanya mangapi ila upendo haupungui.
Huu mwili mmoja?? , mbona mwingine anachomoka na kwenda kujiunga na mwingineIla sio poa maana mmekua mwili mmoja
Sijasoma uzi wa kipuuziMi ni Keke we kichwani zimo kweli? Umesoma Uzi au umecomment tu
M/Mungu awabariki akina mama wote duniani bila kujali mapungufu yao.
Amin.