venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,583 Reaction score 3,684 May 11, 2024 #21 Black poison The Factor said: Bila kusahau upendo wenu kwa watoto wenu haijalishi wanafanya mangapi ila upendo haupungui. Click to expand... Unadhani hatuwapendi waume zetu basii.. ..ni vile mnatusaliti Tunajikuta tunahama mazima
Black poison The Factor said: Bila kusahau upendo wenu kwa watoto wenu haijalishi wanafanya mangapi ila upendo haupungui. Click to expand... Unadhani hatuwapendi waume zetu basii.. ..ni vile mnatusaliti Tunajikuta tunahama mazima
Rule L JF-Expert Member Joined May 31, 2020 Posts 1,846 Reaction score 2,754 May 11, 2024 Thread starter #22 venossah said: Unadhani hatuwapendi waume zetu basii.. ..ni vile mnatusaliti Tunajikuta tunahama mazima Click to expand... Ila sio poa maana mmekua mwili mmoja
venossah said: Unadhani hatuwapendi waume zetu basii.. ..ni vile mnatusaliti Tunajikuta tunahama mazima Click to expand... Ila sio poa maana mmekua mwili mmoja
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 May 11, 2024 #23 Kina mama wako overrated kinyama
venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,583 Reaction score 3,684 May 12, 2024 #24 Black poison The Factor said: Ila sio poa maana mmekua mwili mmoja Click to expand... Huu mwili mmoja?? , mbona mwingine anachomoka na kwenda kujiunga na mwingine
Black poison The Factor said: Ila sio poa maana mmekua mwili mmoja Click to expand... Huu mwili mmoja?? , mbona mwingine anachomoka na kwenda kujiunga na mwingine
AKAN JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 991 Reaction score 963 May 12, 2024 #25 Black poison The Factor said: Mi ni Keke we kichwani zimo kweli? Umesoma Uzi au umecomment tu Click to expand... Sijasoma uzi wa kipuuzi
Black poison The Factor said: Mi ni Keke we kichwani zimo kweli? Umesoma Uzi au umecomment tu Click to expand... Sijasoma uzi wa kipuuzi
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 May 12, 2024 #26 k2206 said: M/Mungu awabariki akina mama wote duniani bila kujali mapungufu yao. Amin. Click to expand...
k2206 said: M/Mungu awabariki akina mama wote duniani bila kujali mapungufu yao. Amin. Click to expand...