Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtatiro utakuwa umelambishwa pesa ya kutosha. Siyo bure, mawazo yangu tu. sisi wanasiasa atu give up kirahisi namna hiyo
Hivi Julius Mtatiro anagombea jimbo gani??
Hivi Julius Mtatiro anagombea jimbo gani??
Huu ndio ukomavu wa kisiasa.
Kwa wale wanaosema watamkosa bungeni kwani kuna njia moja tu ya kufika bungeni? Hebu muulizeni Mbatia.
Hongera sana ila nilitamani kukuona bungeni katika harakati za kulikomboa taifa
Mdogo wangu Julius Mtatiro, kumbuka kura hazipigwi hapa JF au kule mtaa wa pili Facebook, hamishia mechi huku site; mtaa kwa mtaa, mlango kwa mlango na mtu kwa mtu. Nakumbuka 2010 ulifanya kampeni nzuri sana ingawa kura hazikutosha, safari hii katika ushirika wa ukawa jimbo hili ni lako.
Mkuu tuombe ukawa itwae madaraka,ataonekana tu bungeni