Hongereni Walimu wa Tanzania naona kuna Mtu anaanza 'Kuwalainisheni' mapema 2023 hii ili awatumie 'Kumlainishia' 2025 Oktoba

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?

Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea kudharauliwa na kusahaulika kwa Changamoto zenu lukuki.

Yaani kila Siku tu mnafanywa kama Tambala la Deki ambalo Umuhimu wake ni Kudekia tu penye Uchafu na Kutupwa na kuhitajika tena Uchafu ukijitokeza lakini hata hamshtuki.

Eti Walimu ni Jeshi muhimu nchini hivi lingekuwa ni Jeshi muhimu mngekuwa mnalidharau, mnalipuuza na mnawapa Mishahara midogo hadi Wengine wanaishia Kutwa kujirahisi kwa akina GENTAMYCINE na 'Kuwabandua' kwa Pesa ndogo, kwa Mkopo na sometimes hata kwa Mali Kauli tu?

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
 
Karisimatiki, fela, talentedi sijui nini nini huko mbele....🤣 poti ebu nikumbushe lile jina lako refu kama mkojo..😜
Jina langu halisi hata RITA, NIDA, SERIKALINI na UHAMIAJI lipo / linajulikana ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( alias ) GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.

Hata adriz na Bujibuji Simba Nyamaume wanalijua vyema tu Mkuu Wangu sawa?
 
Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?

Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea kudharauliwa na kusahaulika kwa Changamoto zenu lukuki.

Yaani kila Siku tu mnafanywa kama Tambala la Deki ambalo Umuhimu wake ni Kudekia tu penye Uchafu na Kutupwa na kuhitajika tena Uchafu ukijitokeza lakini hata hamshtuki.

Eti Walimu ni Jeshi muhimu nchini hivi lingekuwa ni Jeshi muhimu mngekuwa mnalidharau, mnalipuuza na mnawapa Mishahara midogo hadi Wengine wanaishia Kutwa kujirahisi kwa akina GENTAMYCINE na 'Kuwabandua' kwa Pesa ndogo, kwa Mkopo na sometimes hata kwa Mali Kauli tu?

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
Cc: Mpwayungu Village
 
You deserve a gold medal.
Umeona ambayo wengi hawajayaona...

Serikali inatumika na CCM kuendelea kuiba kura za wananchi
 
Mimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
 
Mimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Tusisikie kelele zenu kwanzia mei mosi 2026. Sijawahi kuwadharau ila ndiyo nitawadharau mpaka naondoka hii dunia, huwa mnachotwa akili na vitu vya kipuuzi sana.
 
Hiyo posho bado ndogo sana.

Walimu ni watu muhimu, tuendelee kuwaombea waweze kujitambua
 
Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?

Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea kudharauliwa na kusahaulika kwa Changamoto zenu lukuki.

Yaani kila Siku tu mnafanywa kama Tambala la Deki ambalo Umuhimu wake ni Kudekia tu penye Uchafu na Kutupwa na kuhitajika tena Uchafu ukijitokeza lakini hata hamshtuki.

Eti Walimu ni Jeshi muhimu nchini hivi lingekuwa ni Jeshi muhimu mngekuwa mnalidharau, mnalipuuza na mnawapa Mishahara midogo hadi Wengine wanaishia Kutwa kujirahisi kwa akina GENTAMYCINE na 'Kuwabandua' kwa Pesa ndogo, kwa Mkopo na sometimes hata kwa Mali Kauli tu?

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
Unaharibu bando lako bure kuhubiria wasiojua wanataka nini.
 
Mimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Genta njoo uone akili za unaowatetea. Huyu hapa Mwalimu halisi na akili za Kuku.
 
Nasikitika sana Mkarukwa GENTAMYCINE ChAdeMa wanaanza kukutumia vibaya. Na hata huu uzi wako vijana wa BaviChA watakusifu sana Kwa sababu wamezoea kuwatukana Walimu.
 
Tusisikie kelele zenu kwanzia mei mosi 2026. Sijawahi kuwadharau ila ndiyo nitawadharau mpaka naondoka hii dunia, huwa mnachotwa akili na vitu vya kipuuzi sana.
Hizo kelele zao huwa zinakusababisha ukose usingizi usiku? Mbona mateso mengine ni kama tunajitakia hivi!!
 
Back
Top Bottom