Hongereni Walimu wa Tanzania naona kuna Mtu anaanza 'Kuwalainisheni' mapema 2023 hii ili awatumie 'Kumlainishia' 2025 Oktoba

Mimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama una rafiki ambaye ni mwalimu wa mwandiko, tafadhari kuwa karibu naye akupige msasa kwenye MWANDIKO.
 
U
Mimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Unazo elements zote za umasikini
 
Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?

Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea kudharauliwa na kusahaulika kwa Changamoto zenu lukuki.

Yaani kila Siku tu mnafanywa kama Tambala la Deki ambalo Umuhimu wake ni Kudekia tu penye Uchafu na Kutupwa na kuhitajika tena Uchafu ukijitokeza lakini hata hamshtuki.

Eti Walimu ni Jeshi muhimu nchini hivi lingekuwa ni Jeshi muhimu mngekuwa mnalidharau, mnalipuuza na mnawapa Mishahara midogo hadi Wengine wanaishia Kutwa kujirahisi kwa akina GENTAMYCINE na 'Kuwabandua' kwa Pesa ndogo, kwa Mkopo na sometimes hata kwa Mali Kauli tu?

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
Cc Mpwayungu Village
 
Mimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Kachukulie loan hiyo inclement
 
Mimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Inafurahia kulipwa 65 kwa kazi maalumu?emu rudia upya kusoma malipo ya kazi maalumu

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Yani unakaa mwaka mzima kusubiri 65,000?ama kweli ukiwa masikini hata upeo unapungua
 
Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?

Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea kudharauliwa na kusahaulika kwa Changamoto zenu lukuki.

Yaani kila Siku tu mnafanywa kama Tambala la Deki ambalo Umuhimu wake ni Kudekia tu penye Uchafu na Kutupwa na kuhitajika tena Uchafu ukijitokeza lakini hata hamshtuki.

Eti Walimu ni Jeshi muhimu nchini hivi lingekuwa ni Jeshi muhimu mngekuwa mnalidharau, mnalipuuza na mnawapa Mishahara midogo hadi Wengine wanaishia Kutwa kujirahisi kwa akina GENTAMYCINE na 'Kuwabandua' kwa Pesa ndogo, kwa Mkopo na sometimes hata kwa Mali Kauli tu?

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
"Dola iliamua mapato/fedha mengi/ nyingi yaende/ziende kwenye siasa kuliko kwenye proffession!

Ndio maana proffessional karibu zote zinalia lia sana kuhusu ukata na wote wanakimbilia kwenye SIASA!!

Tatizo la watumishi wa ummaa wakiwemo walimu ni la kimfumo na kipaumbele cha dola kutowapa heshima inayostahili!

Dola imeamua kulinda wapiga dili wakawaacha watumishi wenye kutumika KWA miaka mingi!!

ZIPO DALILI HAPO MBELENI DOLA ITANIINGIZA KITALANI NA NDIPO NITAKAPOFANYA WANASIASA WAIONE SIASA NI KAZI NDOGO SANA NA KUKIMBILIA PROFESSIONAL ZAO ZA AWALI!!

KAMA HUKO UINGEREZA ILIVYO SIASA NI KAZI YA ZIADA HUFANYWA NA WATU BAADA YA KUSTAAFU KAZI ZAO ZA MAANA!!WALA HAKUNA ANASA KAMA AFRICA!!

NITAINGIA NITAREKEBISHA HALI!!
 
Mimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Kama hizi ndo akili za waalimu nachelea kusema shule mlikwenda kusomea ujinga ,hamjitambui.
 
Mimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Chawa utakufa vibaya
 
Back
Top Bottom