True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama una rafiki ambaye ni mwalimu wa mwandiko, tafadhari kuwa karibu naye akupige msasa kwenye MWANDIKO.Mimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama