True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama una rafiki ambaye ni mwalimu wa mwandiko, tafadhari kuwa karibu naye akupige msasa kwenye MWANDIKO.Mimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Unazo elements zote za umasikiniMimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Cc Mpwayungu VillageKwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?
Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea kudharauliwa na kusahaulika kwa Changamoto zenu lukuki.
Yaani kila Siku tu mnafanywa kama Tambala la Deki ambalo Umuhimu wake ni Kudekia tu penye Uchafu na Kutupwa na kuhitajika tena Uchafu ukijitokeza lakini hata hamshtuki.
Eti Walimu ni Jeshi muhimu nchini hivi lingekuwa ni Jeshi muhimu mngekuwa mnalidharau, mnalipuuza na mnawapa Mishahara midogo hadi Wengine wanaishia Kutwa kujirahisi kwa akina GENTAMYCINE na 'Kuwabandua' kwa Pesa ndogo, kwa Mkopo na sometimes hata kwa Mali Kauli tu?
Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
Kachukulie loan hiyo inclementMimi mwalimu binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Inafurahia kulipwa 65 kwa kazi maalumu?emu rudia upya kusoma malipo ya kazi maalumuMimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Yani unakaa mwaka mzima kusubiri 65,000?ama kweli ukiwa masikini hata upeo unapunguaMimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
"Dola iliamua mapato/fedha mengi/ nyingi yaende/ziende kwenye siasa kuliko kwenye proffession!Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?
Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea kudharauliwa na kusahaulika kwa Changamoto zenu lukuki.
Yaani kila Siku tu mnafanywa kama Tambala la Deki ambalo Umuhimu wake ni Kudekia tu penye Uchafu na Kutupwa na kuhitajika tena Uchafu ukijitokeza lakini hata hamshtuki.
Eti Walimu ni Jeshi muhimu nchini hivi lingekuwa ni Jeshi muhimu mngekuwa mnalidharau, mnalipuuza na mnawapa Mishahara midogo hadi Wengine wanaishia Kutwa kujirahisi kwa akina GENTAMYCINE na 'Kuwabandua' kwa Pesa ndogo, kwa Mkopo na sometimes hata kwa Mali Kauli tu?
Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
Kama hizi ndo akili za waalimu nachelea kusema shule mlikwenda kusomea ujinga ,hamjitambui.Mimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
huyoo sio mwalimu ni chawa tuu.Yani unakaa mwaka mzima kusubiri 65,000?ama kweli ukiwa masikini hata upeo unapungua
Chawa utakufa vibayaMimi mwalimu, binafsi namkubali sana mama samia kwa njisi anavyotujari watumishi,viposho vimeongezeka kiwango,madaraja tunapanda kwa wakati,mwaka Jana nilisimamia mtihani wa darasa la saba posho ilikuwa sh 40,000 kwa siku,mwaka huu posho ilikuwa shilingi 65,000 kwa siku,apewe maua yake huyu mama
Hawajielewi kabisa sijui ni umaskini unawasumbuaWalimu watu wa kutumika tu
Ova