Mkuu hii black castor oil ndio ipi? mafuta ya nyonyo?Ninafahamu mtu aliyetumia black castor na akapona mkuu kama wewe na alitumia once haikumrudia tena. Ila nafahamu pia mtu aliyewahi kufanyiwa operation na bado ikamrudia aka opt kutumia castor oil akapona mazima.
Na mimi naomba kueleweshwa, mafuta haya yanapatikanaje?Mkuu hii black castor oil ndio ipi? mafuta ya nyonyo?
YepMkuu hii black castor oil ndio ipi? mafuta ya nyonyo?
Baadhi Cosmetics shopsNa mimi naomba kueleweshwa, mafuta haya yanapatikanaje?
AsanteBaadhi Cosmetics shops
Pole ndugu utatupa mrejesho, mtu wangu wa karibu anasumbuliwa sanaNipo Dar.. Hii hari imenianza Juzi baada ya kujisaidia kinyama kimetoka nje hakirudi ndani. kuna mtu alinambia nipake Aloe vera, nimefanya ivo jana na leo.... Lkn baada ya kupitia hapa na mimi kesho naenda dukani kutafuta hayo mafuta, wasiwasi wangu ni wenda nikayakosa.
Jamii forum ni sehemu muhimu sana kwa ustawi wa jamii... Thanks mleta uzi na wachangiaji. Pia sisi tutakaofuata ushauri huu ni vema tulete mrejesho baada ya kutumia ili kusaidia wengine watakaokuja kuperuzi umu mbeleni.
Zinapatkana wap mkuu?maana mwenyew nlienda aghakhan mwanza hapa,huduma zao n mbovu hata cjupata unafuuPole sana. Kama upo maeneo ya kanda ya ziwa mwanza na mara kuna sabuni walalahoi tunazitumia zinaitwa B29 za rangi nyeupe. Endapo una bawasiri ya nje wakati wa kuoga tumia kuisugua sabuni hiyo mahari penye kivimbe cha bawasiri alafu njoo unishukuru.
Vile vile tumia mboga za majani mara kwa mara kunywa maji ya kutosha walau lita 5 kwa siku. So far saga alovela changanya na juisi hata ya azam embe kunywa. Mm sio mtaalam wa tiba ila niliambiwa bawasiri ni bacterial infection. Sasa tumia njia izo arafu utakuja nishukuru.
Yanapatikana wap mkuu,na je yanatibu mpk ile ya ndan au n njeee tu?Kanunue mafuta ya nyonyo Castor oil...halafu uwe unapaka hako kauvimbe asubuhi na jioni ukiwa safi...inaondoa uvimbe kabisa kabisa unayeyuka unapotea...mimi ni shuhuda sijahadithiwa...na nilijifunza hapa hapa jamii forum..hii ni dawa kuliko zote popote.
Yanapatikana wap mkuu,na je yanatibu mpk ile ya ndan au n njeee tu?
Sabuni za B29 ni nyeupe za vipande. Zipo za toleo jipya za MO B29 hizo ni za mohameid interprises ww tafuta zile nyeupe za zaman za B29 kanda ya ziwa zipo ndo sabani az walalahoi. Nunua ukiwa bafuni paka povu kidogo sugua taratibu kwenye kivimbe utahisi kwanza maumivu yanapotea kama yapo na kitanyweaZinapatkana wap mkuu?maana mwenyew nlienda aghakhan mwanza hapa,huduma zao n mbovu hata cjupata unafuu
Unapona kabisa au kwa mda?Sabuni za B29 ni nyeupe za vipande. Zipo za toleo jipya za MO B29 hizo ni za mohameid interprises ww tafuta zile nyeupe za zaman za B29 kanda ya ziwa zipo ndo sabani az walalahoi. Nunua ukiwa bafuni paka povu kidogo sugua taratibu kwenye kivimbe utahisi kwanza maumivu yanapotea kama yapo na kitanywea
Wajumbe nilizingatia ushauri kama ulivyopendekezwa na Fereke....... hakika haya mafuta ya mnyonyo nimeyakubali, tatizo jana limepotea kabisa na sasa niko vizuri..... Tafadhari msikimbilie mi operation kama hali zenu sio mbaya sana, ni bora kujaribu mbadala na mm nipendekeza Mafuta haya kama mbadala #1..... AhsanteniNipo Dar.. Hii hari imenianza Juzi baada ya kujisaidia kinyama kimetoka nje hakirudi ndani..... kuna mtu alinambia nipake Aloe vera, nimefanya ivo jana na leo.... Lkn baada ya kupitia hapa na mimi kesho naenda dukani kutafuta hayo mafuta, wasiwasi wangu ni wenda nikayakosa....
Jamii forum ni sehemu muhimu sana kwa ustawi wa jamii... Thanks mleta uzi na wachangiaji...... Pia sisi tutakaofuata ushauri huu ni vema tulete mrejesho baada ya kutumia ili kusaidia wengine watakaokuja kuperuzi umu mbeleni.
NENDA KWA GWAJIMANaombeni msaada wa hospitali nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe huko njia ya haja kubwa. Sipati maumivu yoyote nimeamua tu kukitoa hicho kinyama sikitaki.
Naombeni msaada wa hospitali na gharama zake
Wajumbe nilizingatia ushauri kama ulivyopendekezwa na Fereke....... hakika haya mafuta ya mnyonyo nimeyakubali, tatizo jana limepotea kabisa na sasa niko vizuri..... Tafadhari msikimbilie mi operation kama hali zenu sio mbaya sana, ni bora kujaribu mbadala na mm nipendekeza Mafuta haya kama mbadala #1..... Ahsanteni
nimeambatanisha na picha za mafuta hayo.... nilinunua pharmacy kwa 5000... Japo huyo mtaalamu wa hapo Pharmacy alinishangaa kumuambia kuwa nimeshauriwa iyo ni dawa ya Bawasiri ya nje.... akataka aniandikie mavidonge ya kunywa na kuingiza sehem ya haja kubwa.... nikamuambia naomba mafuta tu, hayo mengine kama mafuta haya yatashindwa kutatua tatizo langu.
Kweli bhana tutakuja kufa khaaa,,,,, siku naenda dukani nikayaona kwa shelv basi ile WW ilinichanganya ..... kumbe niliyotumia mm ni Zaituni, niliyoshauriwa ni nyonyo..... jmn homa ilinipagawisha..... all in all chakushukuru tatizo limekwisha.... ndio maana nikawa najiuliza mbona inachukua masiku mengi sana takrini siku kumi na kitu ivi...... mungu mkubwa naendelea vizuriMbona ni mafuta aina mbili tofauti?.hayo sio mafuta ya nyonyo.
Ni ya ZAITUNI
Nihaya ulitumia , na Mimi nataka ninnue nijibu plzmm nimeyapata pharmacy kwa 5,000... kuna picha jamaa aliituma tumia iyo nenda nayo pharmacy.
Nihaya ulitumia , na Mimi nataka ninnue nijibu plzView attachment 1607155
Nipo Dar.. Hii hari imenianza Juzi baada ya kujisaidia kinyama kimetoka nje hakirudi ndani..... kuna mtu alinambia nipake Aloe vera, nimefanya ivo jana na leo.... Lkn baada ya kupitia hapa na mimi kesho naenda dukani kutafuta hayo mafuta, wasiwasi wangu ni wenda nikayakosa...