rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 161
- 128
Rudi kwa aliyekutuma uje hapa JamiiForums kuichafua Hospitali ya Agha Khan kwani kama kuna Hospitali yenye Uweledi, Umakini, Huduma nzuri na Madaktari walioenda Shule Kuelimika na siyo Kusoma tu basi ni ya Agha Khan.Ndugu wanajamvi.
Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..?
Nilimpeleka mtu mida ya usiku emergency kwa kweli nilipata wasiwasi maana wengi waliokuwa pale reception walionekana kutojua vitu, wengine hata kuandaa drip ilikuwa ni tatizo mpaka wapeane msaada wenyewe kwa wenyewe. Kwa kweli niliogopa sana na sikuamini hospital kubwa kama ile kuwa na mdaktari ambao hawana uzoefu tena sehemu ya emergency.
Pumbavu sana. Wewe ni kibakuri tuu. Agakhan mwaza hapo wana madakitari Bingwa karibu idara zote. But wewe na majungu yako ya kifrica. Utakuwa mtoto wa MSIMBENdugu wanajamvi.
Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..?
Nilimpeleka mtu mida ya usiku emergency kwa kweli nilipata wasiwasi maana wengi waliokuwa pale reception walionekana kutojua vitu, wengine hata kuandaa drip ilikuwa ni tatizo mpaka wapeane msaada wenyewe kwa wenyewe. Kwa kweli niliogopa sana na sikuamini hospital kubwa kama ile kuwa na mdaktari ambao hawana uzoefu tena sehemu ya emergency.
Mjini wapi, maana hospitali za Agha Khani zipo mikoa mingi hapa TzNdugu wanajamvi.
Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..?
Nilimpeleka mtu mida ya usiku emergency kwa kweli nilipata wasiwasi maana wengi waliokuwa pale reception walionekana kutojua vitu, wengine hata kuandaa drip ilikuwa ni tatizo mpaka wapeane msaada wenyewe kwa wenyewe. Kwa kweli niliogopa sana na sikuamini hospital kubwa kama ile kuwa na mdaktari ambao hawana uzoefu tena sehemu ya emergency.
Hujui usemalo, nenda muhimbili au mloga, bugando, kcmcHospitali za serikali pekee ndio zina madaktari wabobezi katika ukanda wetu huu wa Afrika; pelekeni wagonjwa wenu kwenye hospitali za umma, ata ukimchangia mafuta kidogo sio mbaya, kuliko kwenda huko private ambapo wako profit oriented.
Mloganzila naskia ni kama kwa MKAPA "Hatoki mtu"Hujui usemalo, nenda muhimbili au mloga, bugando, kcmc
Story tu, hospital lazima watu wafeMloganzila naskia ni kama kwa MKAPA "Hatoki mtu"
Ukiumwa ukapelekwa pale ww ni Marehem mpya
Maybe...Story tu, hospital lazima watu wafe
Na hao madaktari wabobez wengi wao ni freelancer hawataki kubanawa na sheria za sekta binafsiHospitali za serikali pekee ndio zina madaktari wabobezi katika ukanda wetu huu wa Afrika; pelekeni wagonjwa wenu kwenye hospitali za umma, ata ukimchangia mafuta kidogo sio mbaya, kuliko kwenda huko private ambapo wako profit oriented.