Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

hatoki mtu mloganzila, bugando, amana ilala,kcmc. hapa ukipelekwa ujue kaburi unakaribia maana wanafunzi kibao wanajifunza
 
Hiyo ni kweli, niliwahi kufika hapo miaka fulani na dharula fulani maeneo muhimu, vitoto vidogo vimenizunguka havijui hata la kufanya, vinaona aibu kuangalia nikaondoka zangu.

Nikaenda kutibiwa sehemu nyingine na shida yangu iliisha.

muongo mkubwa ulieshinda kikombe cha CAF
 
Hahaaaa kama kweli mwafwaaaaaaaaaaaaaa maana ndio hospitali yao pendwa hiyo hasa wakipata mafua na matatizo ya kupumua.
 
Back
Top Bottom