Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

Hospitali za serikali pekee ndio zina madaktari wabobezi katika ukanda wetu huu wa Afrika; pelekeni wagonjwa wenu kwenye hospitali za umma, ata ukimchangia mafuta kidogo sio mbaya, kuliko kwenda huko private ambapo wako profit oriented.
Sema Huko Umma kufa ni Nje nje...
Huduma ni mbovu kidogo
 
Sio mbaya ni namna ya kujifunza ila ni vyema kuwepo pia daktari mwenye ujuzi kwa ajili ya kusaidia/kuelekeza
 
Hiyo ni kweli, niliwahi kufika hapo miaka fulani na dharula fulani maeneo muhimu, vitoto vidogo vimenizunguka havijui hata la kufanya, vinaona aibu kuangalia nikaondoka zangu.

Nikaenda kutibiwa sehemu nyingine na shida yangu iliisha.
 
Acha kabisa walimchoma mtoto wangu mkono wakitafuta mshipa, inshort walimtesa kidogo.
 
Hiyo ni kweli, niliwahi kufika hapo miaka fulani na dharula fulani maeneo muhimu, vitoto vidogo vimenizunguka havijui hata la kufanya, vinaona aibu kuangalia nikaondoka zangu.

Nikaenda kutibiwa sehemu nyingine na shida yangu iliisha.
Wewe ni muongo
 
Wewe ni muongo
Hapo hali ndio hilivyo, tafuteni madaktari bingwa wa full-time

Madaktari bingwa wapo hospitali za serikali wanapiga full time, part time ndio wakuja huko kwenu, operation nyingi kubwa lazima madaktari wakubwa watoke government hospitals.
 
Niwali kwenda Agkani kitu nilicho gundua wale wana Vifaa ila si kwamba wana Madakitari bora hapana, madakitari wao wengi ni wa kawaida kabisa kinacho ibeba ni vifaa
 
Hospitali za serikali pekee ndio zina madaktari wabobezi katika ukanda wetu huu wa Afrika; pelekeni wagonjwa wenu kwenye hospitali za umma, ata ukimchangia mafuta kidogo sio mbaya, kuliko kwenda huko private ambapo wako profit oriented.
Private wana vifaaa ila hawana Madakitari watu hawajagundua hilo
 
Mgonjwa wako alipona au alipendwa zaidi?
Aliingia akiwa yuko ok wakamwambia afanyiwe operation. Baada ya operation siku ya tatu usiku akazidiwa , wakampeleka ICU huko nako kuna uzembe ukafanyika basi mungu akampenda zaidi.
Asingefanya operation angekuwa hai mpaka sasa.
 
Public hospital usiwe na mkono wa kichoyo mim kuna rafiki yangu mke wangu kajifungia agha khan katoa million 10 huo ujinga sifanyi
Hapo utakuwa wamemwambia lazima kisu faster ili wapige pesa. hatari sanaaa...!! Hospital za serikali watu wanajifungua njia ya kawaida. Ukienda private kidogo wanakwambia hapa bili kisu itakuwa tatizo. Tuwahi na kisu tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…