D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,761 Reaction score 4,926 Jun 7, 2023 #41 hatoki mtu mloganzila, bugando, amana ilala,kcmc. hapa ukipelekwa ujue kaburi unakaribia maana wanafunzi kibao wanajifunza
hatoki mtu mloganzila, bugando, amana ilala,kcmc. hapa ukipelekwa ujue kaburi unakaribia maana wanafunzi kibao wanajifunza
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,761 Reaction score 4,926 Jun 7, 2023 #42 buccaneer said: Public hospital usiwe na mkono wa kichoyo mim kuna rafiki yangu mke wangu kajifungia agha khan katoa million 10 huo ujinga sifanyi Click to expand... hela za bandarini hizo hana uchungu ndio maana tunaiuza bandari
buccaneer said: Public hospital usiwe na mkono wa kichoyo mim kuna rafiki yangu mke wangu kajifungia agha khan katoa million 10 huo ujinga sifanyi Click to expand... hela za bandarini hizo hana uchungu ndio maana tunaiuza bandari
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,761 Reaction score 4,926 Jun 7, 2023 #43 Mocumentary said: Hiyo ni kweli, niliwahi kufika hapo miaka fulani na dharula fulani maeneo muhimu, vitoto vidogo vimenizunguka havijui hata la kufanya, vinaona aibu kuangalia nikaondoka zangu. Nikaenda kutibiwa sehemu nyingine na shida yangu iliisha. Click to expand... muongo mkubwa ulieshinda kikombe cha CAF
Mocumentary said: Hiyo ni kweli, niliwahi kufika hapo miaka fulani na dharula fulani maeneo muhimu, vitoto vidogo vimenizunguka havijui hata la kufanya, vinaona aibu kuangalia nikaondoka zangu. Nikaenda kutibiwa sehemu nyingine na shida yangu iliisha. Click to expand... muongo mkubwa ulieshinda kikombe cha CAF
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 7,557 Reaction score 20,477 Jun 7, 2023 #44 Aga khan ipi hio mkuu
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,000 Reaction score 5,606 Jun 7, 2023 #45 Hahaaaa kama kweli mwafwaaaaaaaaaaaaaa maana ndio hospitali yao pendwa hiyo hasa wakipata mafua na matatizo ya kupumua.
Hahaaaa kama kweli mwafwaaaaaaaaaaaaaa maana ndio hospitali yao pendwa hiyo hasa wakipata mafua na matatizo ya kupumua.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Jun 7, 2023 #46 rodgers123 said: Tatizo hakuna senior naona wanaachwa wenyewe tuu. Jaribu kwenda emergency usiku ndio utao walioko. Click to expand... Mie Daslama sijawahi kufika mkuu.
rodgers123 said: Tatizo hakuna senior naona wanaachwa wenyewe tuu. Jaribu kwenda emergency usiku ndio utao walioko. Click to expand... Mie Daslama sijawahi kufika mkuu.