Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano


Yalikuwa yanatumika Kama njia ya kusafirisha Silaha. Baada ya kushambuliwa Silaha zikaisha.
 
Sasa sijui watajificha wapi. Wamechokoza watu ,wakidhani walikimbilia kuweka Kambi makanisani, misikitini, mahospitalini mashuleni na sehemu nyingine za kijamii na kuanza kurushwa mabomu wataachwa? Wayahudi Wana sayansi kubwa ya vita ya kugundua Wana ramani yote!! Kombora likifyatuka wanatumia G.P.S za kisasa kujua limetokea wapi. Kimsingi kama watoto, wanawake na raia watapata madhara kwenye hii vita wa kulaumiwa ni Hamas kwa kukiuka sheria za kibinaadamu kwa kutumia raia kama silaha au kinga
 

Israel alishatoa tangazo watu wahamie upande wa pili, na akatoa na muda. Sasa Hamas kazuia watu wasitoke ili awatumie Kama Kinga. Kama Jana alichofanya Ahmed Siam kukimbilia Shule ya Al Buraq na kundelez mashambulizi. Israel ikaamua kulipua eneo la shule kumbe wamefichwa watoto mle ndani. Watu hamsini wakafa mle.
 

Na Israel alishasema mapema. Toeni mateka tutasitisha mapigano. Hamas wakawa wajeuri wanaringia mahandaki yao.
 

Kweli kabisa angeruhusu watu wahame , yeye akawa shikilia kwa vitisho. Mwishowe wote wamebanwa hospitalini hamna kutoa mpaka operation iishe.
 
Wewe ita majina yote lakini kwa moto hii mliopelekewa itabidi msiusahu kwa miaka 100 , yaani mkitaka kuanzisha chokochoko na mkikumbuka jinsi myahudi alivyowafanya mtajikuta mnatulia

Hicho kipigo ni zaidi ya vyote. Walidhani utani.
 
Hicho kipigo ni zaidi ya vyote. Walidhani utani.
Hakika shujaa muongoza njia alisha sema kuwa ogopa Mungu na teknolojia.

Siku mbili zilizo pita ulituambia eneo hilo limesha tekwa.
 
Ustaadh unabisha ujinga wakati kila dkk mnakufa kama panya videos mnachukulia wapi wakat mko chini ardhi kama panya
We bint wa mombasa bora kauze sambusa vita unavijua wapi wewe.

We unadhani hivyo vifaru vitatoka hapo Gaza
 
Hayo mapigano ya mwisho bado hayawezi kuimaliza Hamas, sana sana yataleta vifo vingi na maafa kwa raia wema wa Palestine.

Huwezi kuimaliza ideology kwa bunduki na mabomu pekee, hata Marekani ni shahidi kwa alichokivuna kutoka kwa Taliban kule Afghanistan.
 
Yani mnataka kutuletea Hollywood movie mpya kama hi eti wamekuta kiwanda cha ndege chumbani hivi mtu mwenye akili atawasikia hawa wajinga 😄


View: https://youtu.be/9JEJsv5iOQ4?si=b5IvThj0hQb1L8Bs
Labda makondoo tu kama wao ndio watamini.

Sa kwanini wasiingie watuonyeshe Central command ya Hamas 😄
 
Ngoja tusubiri majibu ya kikao cha dharula kilichofanyika Saudia leo kitakuja na majibu gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…