Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana vita ilipokolea ambulance gaza zilikuwa nyingi zinakimbia huku na kule kumbe zinasafirisha silaha na Askari wa Hamas .Jeshi la IDF la Israel lilipogundua ki ambulance chochote kikipiga king'ora sijui kinaenda wapi au kutaka kuingia hospitali kinatandikwa bomu au kombora popte kinapiga king'ora
Ww si ulisha tuambia kuwa eneo hilo lilisha tekwa na Israel?Jamaa anabisha wakati mambo yapo live Al Jazeera
Israeli don’t give a shit about protesters in London, New York or Paris. Even if the whole world turned against them they don’t care. They will walk alone.
View: https://youtube.com/shorts/MOzcTqr7h_g?si=qZQkVXlmhrmVmM3q
Ni tahadhari gani wanayochukua wakati wanaua vichanga visivyo na hatia, ata jwtz wasingefanya ujinga kama wanaofanya majeshi ya israel, majeshi yetu yameshiriki misheni nyingi lakini huwezi kusikia wameua raia au waandishi wa habari, target ni adui tu.
Sahihi yaani kama wamekufa hatabaki Hamas Gaza hata mmoja hii vita ya sasa ni kuhakikisha kwanza mateka wanapatikana wazima ndio Israel itaweza sema mapigano yasimame au la wanataka watu wao wote waliotekwa na Hamas kama Hamas watawaua hakuna Hamas atabaki Gaza na eneo lote la Gaza litakuwa chini ya majeshi ya Israel forever litakaliwa kwa nguvu forever Litakuwa sehemu ya Israel mia kwa mia sasa na hata milele
Sasa sijui watajificha wapi. Wamechokoza watu ,wakidhani walikimbilia kuweka Kambi makanisani, misikitini, mahospitalini mashuleni na sehemu nyingine za kijamii na kuanza kurushwa mabomu wataachwa? Wayahudi Wana sayansi kubwa ya vita ya kugundua Wana ramani yote!! Kombora likifyatuka wanatumia G.P.S za kisasa kujua limetokea wapi. Kimsingi kama watoto, wanawake na raia watapata madhara kwenye hii vita wa kulaumiwa ni Hamas kwa kukiuka sheria za kibinaadamu kwa kutumia raia kama silaha au kinga
Wewe ita majina yote lakini kwa moto hii mliopelekewa itabidi msiusahu kwa miaka 100 , yaani mkitaka kuanzisha chokochoko na mkikumbuka jinsi myahudi alivyowafanya mtajikuta mnatulia
Hakika shujaa muongoza njia alisha sema kuwa ogopa Mungu na teknolojia.Hicho kipigo ni zaidi ya vyote. Walidhani utani.
We bint wa mombasa bora kauze sambusa vita unavijua wapi wewe.Ustaadh unabisha ujinga wakati kila dkk mnakufa kama panya videos mnachukulia wapi wakat mko chini ardhi kama panya
Hayo mapigano ya mwisho bado hayawezi kuimaliza Hamas, sana sana yataleta vifo vingi na maafa kwa raia wema wa Palestine.Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho. Eneo la Hospitali ya Al Shifa na Hospitali ya Rantisi ndio yalikuwa maeneo magumu kwenye mapambano ya Hamas na IDF.
Kwenye Hospitali ya Rantisi jijini Gaza iligundulika kwamba Hamas waliwaficha raia karibia 1000 humo ndani. Baada ya mapigano makali Kiiongozi wa Hamas aitwaye Ahmed Siam alikimbilia kwenye shule iittwayo Al Buraq hapo jijini Gaza. Baadae IDF waliamua kumuua Siam na wapiganaji na watu wengine hamsini waliokuwa wamejificha kwenye shule hiyo.
Kwa Sasa eneo liliobakia ni hiyo Hospitali ya Al Shifa ambako mapigano makali yanaendelea kati ya IDF na Hamas. Israel imetoa muda wa raia kuondoka ili ishughulike na Hamas waliobakia kwenye Handaki huko Chini.
Kwa habari za chinichini inasemekana mateka wapo Chini kwenye Handaki ya Hospitali hiyo. Pia wapiganaji wa Hamas waliokamatwa wamedai kiongozi wao Yahya Sinwar amejificha huko Chini.
Israel wakifanikwa kuwatoa raia eneo Hilo na kuwapata mateka hao kazi itakuwa imeisha. Kinachochelewesha operation hiyo ni uwingi wa raia waliokwama kwenye eneo Hilo, hivyo kuwafanya IDF kuwashambulia Hamas kwa tahadhari.
Yani mnataka kutuletea Hollywood movie mpya kama hi eti wamekuta kiwanda cha ndege chumbani hivi mtu mwenye akili atawasikia hawa wajinga 😄Mkuu Mimi siko biased. Naangalia kwenye Al Jazeera Hospitali imefungwa geti na hakuna mtu kutoka. Ukitoka tu unalambwa Shaba. Kuna mtu na mke wake wamelambwa Shaba live, halafu wewe unadai ni propaganda. Ndio maana nikaomba Israel asitishe haya mapigano.
Cc ProvedKwenye hili nimewasifu Israel wamesimamia wanachokiamini kulinda ardhi ya mababu zao tangu wachukuliwe uhamishoni. Kelele zimekuwa nyingi mno ila wao wamemaintain udhibiti.