Ntalitikisaa, Muna love akasome, Yani nikipiga chafya natikisa dako, nikikohoa natikisa dako, nikisalimiana na mtu nageuza dako🀣🀣🀣🀣 timeteseka sanaaa....au nasema uongo ndugu yangu🀣🀣🀣🀣
Km nakuona utakavyobinuka km nyigu 🀣🀣
 
Ntalitikisaa, Muna love akasome, Yani nikipiga chafya natikisa dako, nikikohoa natikisa dako, nikisalimiana na mtu nageuza dako🀣🀣🀣🀣 timeteseka sanaaa....au nasema uongo ndugu yangu🀣🀣🀣🀣
Utakuwa km Zari 🀣🀣🀣
 
Hospitali ya Mloganzila italeta changamoto kwenye usafiri wa umma, si kwamba abiria wataongezeka la hasha, huenda ikapunguza idadi ya wasafiri kwenye mabasi. Bodaboda huenda zikakosa abiria wanawake endapo wengi wao wakichangamkia tekinolojia hiyo, sasa hii ni changamoto mpya kwa wasafirishaji.
 
Kwa wanaofahamu hii hospital inatoa huduma ya operation ya mishipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…