Ni kama kadispensary tu hakana facilties za maana ila sababu iko ndani ya kota za usalama wa taifa,nadhani inakuwa ni rahisi kutunza siri za viongozi wanapokuwa wanaumwa.hata wewe unaweza kwenda kutibiwa kama hamna ishu.Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Hahahahaha..wanaenda pale wakiwa wamezidiwaWengi wakiingia kwenye hiyo hospital wakitoka “ marehemu “!
Na hata jengo lenyewe ni dogoNi kama kadispensary tu hakana facilties za maana ila sababu iko ndani ya kota za usalama wa taifa,nadhani inakuwa ni rahisi kutunza siri za viongozi wanapokuwa wanaumwa.hata wewe unaweza kwenda kutibiwa kama hamna ishu.
Naumwa mkuuMkuu, Wee mzima kweli[emoji23]
Wwe haya yote umeyajuwaje kama si na wwe ni mdau!!?Hiyo hospital kifupi iko kambini kwao. Achague aingilie geti la nyuma kwa kairuki ingawa halitumiki au apite lile kubwa juu
😅😅😅
Mkuu hapo Ni kwa ajili ya Viongozi wa Juu sana wa kitaifa na Pia kwa ajili ya TISS na ndo maana Ipo karibu na TISS
[/Magu ndiye kaipaisha hivyo baada kumalizia safari yake hapoHiyo hospitali ni ya V.I.P? Imejipatia sifa fulani hivi !
Kwahiyo jina ndiyo linakataza wananchi kwenda kutibiwa hapo?Ni kweli Mkuu na hata jina lake limetokana na Mkuu wa usalama TISS wa kwanza anaitwa Emilio Mzena
Mkuu Ukiweza nenda katibiwa 😆😆😅😅Kwahiyo jina ndiyo linakataza wananchi kwenda kutibiwa hapo?
Wengi tu huwa wanajua baada ya mhusika kufariki. Yani anakuwa na ile kazi yake ya uongo na kweli ambayo mnaiamini kabisa kumbe ni fakeKuna yule mama UK ndoa miaka 40, amekuja Gunduwa kazi ya mumewe baada ya kufariki na kuzikwa😂
Wengi tu huwa wanajua baada ya mhusika kufariki. Yani anakuwa na ile kazi yake ya uongo na kweli ambayo mnaiamini kabisa kumbe ni fakeKuna yule mama UK ndoa miaka 40, amekuja Gunduwa kazi ya mumewe baada ya kufariki na kuzikwa😂
Kijana wa mtandao Soma Hapo kwenye Ownership ni Public or Military hii ni MilitaryWapi Pameandikwa Jeshi ?
Hospital ya Jeshi ni Lugalo
Hii ni nje ya Mada mkuuMzena ipo jirani na Kariuki lakini naona the nearest ni TMJ, je Kuna connection?
Ni mgonjwa ndio maana anataka kwenda Hospital ya MzenaMkuu, Wee mzima kweli[emoji23]
Kwa hiyo sifa ya hospital ni kuwa na Mortuary?Halafu Wakifa Mortuary wanapelekwa Lugalo
Mzena hakuna Hospital hapo, kuna Dispensary tu
Mimi nimeuliza tu after all hicho ni kizahanati tu na hakiwezi kuwa na utofauti na hospitali zingine za hovyo za serikali.Mkuu Ukiweza nenda katibiwa [emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]
Kwani tatizo liko wapi Chukua "Enichaiefu" yako katibiwe..
Maana sio muelewa
Sawa mkuuMimi nimeuliza tu after all hicho ni kizahanati tu na hakiwezi kuwa na utofauti na hospitali zingine za hovyo za serikali.
Nimewahi kuingia Mzena kwa tiketi ya ndugu zangu kadhaa ambao ni maafisa vipenyo.Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Kila mtanzania ni mwana usalama.Wwe haya yote umeyajuwaje kama si na wwe ni mdau!!?