Hassani
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 900
- 1,632
Ni kama kadispensary tu hakana facilties za maana ila sababu iko ndani ya kota za usalama wa taifa,nadhani inakuwa ni rahisi kutunza siri za viongozi wanapokuwa wanaumwa.hata wewe unaweza kwenda kutibiwa kama hamna ishu.Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.