Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.

Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.

Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Ni kama kadispensary tu hakana facilties za maana ila sababu iko ndani ya kota za usalama wa taifa,nadhani inakuwa ni rahisi kutunza siri za viongozi wanapokuwa wanaumwa.hata wewe unaweza kwenda kutibiwa kama hamna ishu.
 
Na hata jengo lenyewe ni dogo
 
Halafu Wakifa Mortuary wanapelekwa Lugalo
Mzena hakuna Hospital hapo, kuna Dispensary tu
Kwa hiyo sifa ya hospital ni kuwa na Mortuary?

Mimi nikiona hospital ina Mortuary sitaki kutibiwa.Wanga wakubwa .Kazi ya Hospital ni kuponya sasa wanapoweka Mortuary ni kukuambia wazi kuwa hapo hospital unapoingia tarajia Mortuary. Si unaiona.
Hospital yenye Mortuary watu huwa wanakufa sana

Nikienda kutibiwa hospital yeyote huwa nauliza kwanza mapokezi kama hiyo hospital ina Mortuary wakisema inayo nakimbia spidi ya mwewe kwenda kutibiwa kwingine
 
Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.

Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.

Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Nimewahi kuingia Mzena kwa tiketi ya ndugu zangu kadhaa ambao ni maafisa vipenyo.

Mule ndani acha kabisa, kuna mambo mengi mazito, nilishangaa kukuta sheli kubwa sana ya mafuta mita chache kabla ya hospitali (kwa ajili ya maafisa ku-fuel magari yao).

Wakati flani nikiwa nauguza mmoja wa ndugu zangu, ilipofika muda wa chakula nikafatwa na jamaa mmoja akaniuliza utajisikia kula nini mchana! Nikaanza kukodoa. Akaniambia wanatoa chakula bure kwa watu wanaokuja kutembelea na kuuguza wagonjwa wao, akanipa menu..aisee ni vyakula vya hatari! Nilipotoa order nikaletewa msosi murua kabisa halafu mwingi, ukanishinda hata kumaliza.

Chumba cha mgonjwa tu ni kama sebule, kikubwa kina kila kitu. Aisee kile kitengo kinajipendelea sana. Najuta kwanini nilikataa kuingia huko kipindi hicho [emoji2960][emoji28]
 
Back
Top Bottom