VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
Naipongeza sana serikali ya ccm kuinadi CDM, ongezeni juhudi mkamateni hata Mbowe tena kufuatia kauli kikao chake jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaibika hadi kimataifa aiseeUtawala huu una mambo ya ajabu sana!!
Nawaza na kuwazua, ' Hivi ni kwann Mungu ameamua kuwatia upofu viongozi hawa na wasaidizi wao?'. Ninachojua ni kuwa MUNGU ni Upendo ila ana sifa za Haki na Hekima.Tunaibika hadi kimataifa aisee
CCM wapo busy na chadema kuliko corona wameruhusu Ndege za wagonjwa toka china kumiminika hapo Nchini kienyeji kuja kuwaua watanzania huku akili zao zote ni kuwakomoa chadema
Aweke ugoro puani alafu awafuate polisi walipo, wamkamate
hao siyo polisi. ni majambazi!Askari wa Polisi wamezingira Hotel aliyofikia Mikocheni, Dar es Salaam, wakimtafuta Waziri Kivuli wa Wizara ya mambo ya ndani na Mbunge wa Arusha mjini kwa sababu ambazo hazijajulikana. Mhe. Lema alikuwa azungumze na vyombo vya habari leo jijini D'Salaam kumjibu DPP
Polisi hao wenye silaha, wasiokuwa na sare za Polisi, wako ndani ya gari na wengine mapokezi ya Hotel ya Regency Park. Wamelazimisha uongozi wa hotel ufungue chumba cha Godbless walivyojibiwa ni kinyume cha taratibu, wamewaonya wafanyakazi iwapo hawatampata Mbunge huyo.
CCM wanaiogopa chadema kuliko corona kwani sasa wana wasiwasi wapelelezi wa mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague wapo hapo Nchini wakiwachunguza CCMUpumbavu na ujinga ila wacha yatimie tu Mungu ana makusudio makubwa na yanayendele akija kujibu tusilaumiane tena.
Acha wamdake mbuyuyu mkubwaUtawala huu una mambo ya ajabu sana!!
Aaaaa wapi siwatakungoja umalize kupiga chafya?
Auto Pilot,wakiona vimezidi wanakimbilia kutumbua na kubambikia kesi ili wawapoteze maboya.Haya ni maajabu ya dunia.Nchi inajiendesha yenyewe hatuna viongozi wenye vikra njema, muda siyo mrefu itajigonga ukingoni na kutuzamisha wote.
Sasa ni dili kwa kwenda mbele, polepole na kikundi chake wapiga 10% kila kichwa cha upinzani kinachonunuliwa kuhamia CCM, hakuna mpenda CCM bali sasa wana CCM wanapiga pesa kwa kisingizio cha kuudhofisha chadema kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja, wamebuni mbinu za kula pesa za magufuli ni kusingizia kuiangamiza chadema, upinzani umewatajirisha wajanja wachache huko CCM.Mi nilishasema kuwa awamu hii ya tano ina watawala wa hovyo haijawahi kutokea.
Wanajitahidi sana,wanashindana na ukweli kwa kutenda yasiyofaa.Polisi hao wenye silaha, wasiokuwa na sare za
@tanpol
, wako ndani ya gari na wengine mapokezi ya Hotel ya Regency Park. Wamelazimisha uongozi wa hotel ufungue chumba cha
@godbless_lema
, walivyojibiwa ni kinyume cha taratibu, wamewaonya wafanyakazi iwapo hawatampata Mbunge huyo.