Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

Naipongeza sana serikali ya ccm kuinadi CDM, ongezeni juhudi mkamateni hata Mbowe tena kufuatia kauli kikao chake jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linchi Limekua Lafa/ra hili daah
.
.
Waafrika tunapitia mengi Sana
Hatufurahii Maisha Tabu tupu
 
!
!
Polisi Mbawaonea Bure Tu. Unadhani Nje Ya Hayo Watafanya Nini Mtaani? Kwao Hiyo Ni Kazi Tu Mtaani Kugumu. Hao Hata Wakiambiwa Kula Mbali Hili Hawaulizi Wanakula Tu
 
Tunaibika hadi kimataifa aisee
Nawaza na kuwazua, ' Hivi ni kwann Mungu ameamua kuwatia upofu viongozi hawa na wasaidizi wao?'. Ninachojua ni kuwa MUNGU ni Upendo ila ana sifa za Haki na Hekima.
 
hao siyo polisi. ni majambazi!
 
Upumbavu na ujinga ila wacha yatimie tu Mungu ana makusudio makubwa na yanayendele akija kujibu tusilaumiane tena.
CCM wanaiogopa chadema kuliko corona kwani sasa wana wasiwasi wapelelezi wa mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague wapo hapo Nchini wakiwachunguza CCM
 
Nchi inajiendesha yenyewe hatuna viongozi wenye vikra njema, muda siyo mrefu itajigonga ukingoni na kutuzamisha wote.
Auto Pilot,wakiona vimezidi wanakimbilia kutumbua na kubambikia kesi ili wawapoteze maboya.Haya ni maajabu ya dunia.
Nilimwona Mzee Baba akiwafundisha Wahandisi uhandisi wa field. Je,hiyo nayo ipo kwenye job description yake au ana overlap?
Faraja limesombwa na mafuriko(natural disaster) unatumbua wahandisi?Aliyejenga hilo faraja hakuchaukua muda wake kujirishisha kama ni ideal kwa eneo husika?Kwenye initial feasibility studies huwa wanaangalia mambo gani?
Tunatia aibu,ndiyo maana Sisi kusonga mbele itatuchukua Marne kadhaa kama hii ndiyo aina ya viongozi tunaowaweka kuamua kwa niaba yetu.
 
Mi nilishasema kuwa awamu hii ya tano ina watawala wa hovyo haijawahi kutokea.
Sasa ni dili kwa kwenda mbele, polepole na kikundi chake wapiga 10% kila kichwa cha upinzani kinachonunuliwa kuhamia CCM, hakuna mpenda CCM bali sasa wana CCM wanapiga pesa kwa kisingizio cha kuudhofisha chadema kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja, wamebuni mbinu za kula pesa za magufuli ni kusingizia kuiangamiza chadema, upinzani umewatajirisha wajanja wachache huko CCM.
 
kuna mwaka walienda nyumbani kwake, akapita mlango wa nyuma na kusepaaaa...ivi hoteli zetu huwa zina mlango wa akiba wa kutokomea kusikojulikana?
 
Wanajitahidi sana,wanashindana na ukweli kwa kutenda yasiyofaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…