Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

Ukiona hivyo ujue injinia walimsingizia ni chadema ukitaka upotee utawala huu usiombe usingiziwe wewe ni chadema
 
kuna mwaka walienda nyumbani kwake, akapita mlango wa nyuma na kusepaaaa...ivi hoteli zetu huwa zina mlango wa akiba wa kutokomea kusikojulikana?
Kwa mujibu wa Kubwa jinga Le mutuz na cyprian Musiba ambao ndiyo walitoa taarifa kuwa Lema yupo hapo Mikocheni hoteli, wanadai Safari hii akikamatwa watamdunga sindano ya ebola na corona iliyochanganywa na ukimwi akafie mbele, wameandaa mtu wa kufanya yote hayo
 
Wanajitahidi sana,wanashindana na ukweli kwa kutenda yasiyofaa.
Wanatengeneza breaking news nyingi ili watu wasikumbuke kuwa Tanzania ndiyo Taifa pekee Duniani kwa sasa linapokea Ndege za toka china hata zinazotoka kijijini china na hakuna wa kuthubutu kumhoji mchina, idadi ya wagonjwa ni kubwa lakini waziri kamtangaza mmoja kwa mbinde
 
Kumbe ulishiriki kumuweka? Basi usilalamike tulia tu.
 
Mapolisi na Magereza wanajipendekeza×2 Mawaziri na Makatibu wanajipendekeza ×2
 
kuna mwaka walienda nyumbani kwake, akapita mlango wa nyuma na kusepaaaa...ivi hoteli zetu huwa zina mlango wa akiba wa kutokomea kusikojulikana?
Le mutuz kasema anayo sindano ya corona mixing ebola watamchoma, mliopo huko Dsm msakeni Le mutuz anyang’anywe hiyo sindano
 
Mapolisi na Magereza wanajipendekeza Mawaziri na Makatibu wanajipendekeza ×2
Dawa tiba pekee ni kuwashitaki kuwafungulia kesi The Hague kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa, kimyume na hapo chadema wajiandae kufa kupotea kabsa
 
Kila unapo ona giza linazidi ujue ndiyo machweo yanakaribia
In God we Trust
 
Press ilikuwa kwa ajili ya jambo gani??
 
Hivi tangu lini lema ni mbunge wa Dar! Wamkung'ute tu akileta za kuleta maana hatuwezi kuhatarisha afya za wananchi kwa sababu ya wapumbafu wachache!
 
Hivi tangu lini lema ni mbunge wa Dar! Wamkung'ute tu akileta za kuleta maana hatuwezi kuhatarisha afya za wananchi kwa sababu ya wapumbafu wachache!
Ni kaimu Waziri wa mambo ya ndani ?
 
Kumbe ulishiriki kumuweka? Basi usilalamike tulia tu.
Kiujumla kura ni siri ya mpiga kura,hata kama ningekuwa sijamchagua,kisheria ndiye aliyetangazwa na automatically ni sawa na kumchagua.Pia kumchagua kiongozi haimpatii haki ya kufanya ayatakayo yeye,anatakiwa kufuata sheria,miiko na miongozo iliyopo.
 
nimeshauli tuitishe harambe kwaajili ya kununua mitambo ya Radio na TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…